Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,325
- 5,543
Kutoka kwa mtaalamu Dr JafoAfrican newest medicine
Jr
Tiba yoyote kama inaponya itimie. Acha kuwa mtumwa wa hiari wa mabeberu. Kabla ya hizo tiba za wazungu mababu zetu walipona kwa tiba za miti shamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
imagine PhD holder anafanya huo utopolo?Dr Mwakyembe ametoka kupiga nyungu
Afadhali aunge mkono juhudi kulinda ajira yakeimagine PhD holder anafanya huo utopolo?
Afadhali aunge mkono juhudi kulinda ajira yake
Ulitaka apigwe sindano ya kirusi?imagine PhD holder anafanya huo utopolo?
Hiyo steam treatment (steam yenye dawa kama za majani yaliyochemshwa) inadharauliwa na wenye mawazo ya kukanyagwa. Ingekuwa imetokea Ulaya ungekuta saa hizi inaheshimiwa sana.
Acheni ulimbukeni. Usichukie kitu kutokana tu na inferiority complex uliyojijengea. Jikomboe.
Vyoo vingine unaweza hata kula chakula mkuu usikariri na choo unachotumia wwMbona ameenda kufanya nyungu chooni? Hakuna special room kwa kazi hiyo?