Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,947
pipi.......wewe ukienda jimboni kwako huwa unagawa nini ?

pesa za wagombea wa ccm zitaliwa sana lakini watashangaa jinsi watakavyopigwa chiniAkiongea na wananchi kwenye mkutano wa hadhara huko wilayani mbozi, waziri Mulugo alionekana akiwa na kiroba kilichojaa mabulungutu ya noti huku akigawa mafungu ya noti hizo kwa wananchi waliohudhuria mkutano huo kwa kisingizio kwamba anawezesha VICOBA.
Haikufahamika mara moja kwa nini aliamua kugawa fedha taslimu kwa watu binafsi badala ya kuziweka kwenye akaunti ya VICOBA. Hii inachukuliwa kuwa mbinu ya kujipanga kuwaweka wapiga kura wake sawa kisaikolojia kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2014 na 2015.
Source: TBC1
mnageukana tena !
Akiongea na wananchi kwenye mkutano wa hadhara huko wilayani mbozi, waziri Mulugo alionekana akiwa na kiroba kilichojaa mabulungutu ya noti huku akigawa mafungu ya noti hizo kwa wananchi waliohudhuria mkutano huo kwa kisingizio kwamba anawezesha VICOBA.

Chama chakavuNa wewe nenda jimboni kwako kagawe gongo
wengine mmeshakuwa wat wazima sasa, hebu tumieni muda wenu kwa mambo yenye mantiki kidogo na siyo kila siku uzushi wa kipuuzipuuzi! wewe uliondoka na sh. ngapi? au uliamua kuangaia tu basi? PUMBAAAAAAAAAAAAAAF!!
Lukosi komenti zako nyingine ni za kipumbavu sana! kwa hiyo unakubaliana na Mlugo kugawa rushwa? Mwingine anakusanya maaskofu huko Mwanza na kuanza kampeni za uraisi kwa rushwa, mwingine anagawa rushwa kwa nafasi ya ubunge 2015. ccm vipi, hamjiamini? Mpaka mwisho wa 2014 tutasikia mengi tu!!Na wewe nenda jimboni kwako kagawe gongo
BAVICHA wamekosa hoja, sasa wanaleta vioja..
Na wewe nenda jimboni kwako kagawe gongo

...wewe ukienda jimboni kwako huwa unagawa nini ?
Na wewe nenda jimboni kwako kagawe gongo
Jion hii alikuwa bar ya kalembu anagawa hzo not