Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,243
- 90,302
Raia wa Marekani wamepigwa na butwaa baada ya mwandishi wa gazeti la Atlantic ambaye ni mhariri kudai aliungwa kimakosa na waziri wa Ulinzi wa US katika group la WhatsApp lilikouwa likijadili mipango ya mashambulizi kwa Houthi huko Yemen.
Group hilo la WhatsApp lilijumuisha viongozi wakubwa wa serikali ya Marekani akiwemo JD Vance wakichora mpango wa mashumbiliz ya kivita huko Yemen.
Raia wengi wamehoji inakuaje masuala ya usalama na kivita ya nchi yao yanajadiliwa na kuamuliwa katika group la WhatsApp badala ya ya kupitia mifumo rasmi inayohakikisha usiri wa masuala nyeti ya nchi.
Mwandishi huyo wa habari anasema alifikiri jambo hili ni aina fulani ya utapeli au hadaa mpaka pale aliposikia na kuona taarifa za mashambulizi ya US huko Marekani siku chache baadaye baada ya majadiliano katika group hilo.
Anasema katika hilo group la WhatsApp kilijadiliwa kila kitu ikiwemo maeneo yaliyolengwa, silaha za kutumika na muda wa mashambulizi! Majina ya maafisa wa CIA walioko field pia kufanikisha jambo hilo yalikuwa yakitajawa!