MR UNINFORMED
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,067
- 1,201
Hiv korosho zinaliwa!??
HII PICHA NAIONA KWENYE MITANDAO NI KITU GANI HIKI!
Hawawezi kusema.Itakuwa aibu kubwa Sana wakikiri moja kwa moja.Si waseme tuh hawana fedha!
Hivi, kwani serikali kununua korosho toka kwa wakulima ni mzigo? Kama Msumbiji wanataka kuuza kwetu tatizo liko wapi, mbona kuna wakati tulisema watu wakauze kahawa Uganda kama wanapata bei nzuri huko? Hii kuhakiki mie naona ni kama kujihangaisha tu. Inakuwa kama vile serikali haitaki watu walime Korosho kwa wingi ni mzigo kwakeWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema katika ununuzi wa korosho, Bodi ya Mazao Mchanganyiko inafanya kwanza thamini na kujiridhisha kama korosho hizo zimezalishwa nchini, kuangalia ubora na kama aliyepeleka ndiye mkulima. Baada ya kujiridhisha, ndipo utaratibu wa malipo unafuata.
Huyo ni Samaki, Anaitwa PeregeHII PICHA NAIONA KWENYE MITANDAO NI KITU GANI HIKI!
Mkuu tulionyeshwa clip ya Wakulima wakikata viuno kufurahia malipo ya Korosho. Naona hata zile updates za malipo yaliyofanyika kutoka kwa wapambe Lumumba FC hazipo tena.Kuna watu waliandamana kupongeza