MAGAMBA MATATU
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 646
- 1,174
Different strokes for different folks. What has Kenyan PM's emoluments got to do with us. We have a lot of our own predicaments and a number of quqgmires yet to be settled. So instead of wasting mettle in discussing other's matters, better we allocate those spare calories to dig into our own troubles. Shame to whoever meshuggener who has brought in this codswallopish thread which might unmistakably be the stupidest of the year.
Si wengi wanaofahamu kuwa kwa sasa wanasiasa wa Kenya wanalipwa mishahara minono kuliko nchi nyingi duniani. Bunge la Kenya liliridhia nyongeza ya mishahara ya wabunge na kuidhinisha kila mbunge kulipwa mshahara wa dola 126,000 kwa mwaka, sawa na Sh. 201 milioni au Sh. 16.8 milioni kwa mwezi.
Kiasi hicho cha mshahara, kina maana ya kiwango sawa na mshahara wa mbunge wa Marekani.
Bunge hilohilo ndilo lilipitisha mshahara wa Waziri Mkuu ambao unazidi ule anaolipwa Obama na Waziri Mkuu wa Uingereza. Aidha, wabunge wa Kenya, wamo katika harakati za kutaka mishahara yao isikatwe kodi.
Fikiria: Wakati kipato cha mwananchi wa Marekani kwa wastani ni dola 50,000 kwa mwaka (Sh. 80 milioni), kipato cha mwananchi wa kawaida wa Kenya kwa wastani ni dola 730 tu (Sh. 1.1 milioni) kwa mwaka au chini ya dola 2 kwa siku.
Lakini kwa nchi ambayo wanasiasa wake wanalipwa viwango sawa na wale wa Marekani, mtu angeweza kutarajia nchi hiyo ina miundombinu safi, huduma bora za jamii zikiwamo elimu, maji na afya bure, umeme kwa wingi na bei rahisi na kadhalika.
Wakati Kenya inajitanua kimatumizi kwa wanasiasa wake wakubwa, bado inategemea kusaidiwa na wafadhili kujaza pengo la bajeti yake ya kila mwaka ingawa kiwango cha ufadhili kinashuka mwaka hadi mwaka.
Kutokana na mishahara mikubwa kwa wanasiasa wa Kenya, mtu angetarajia kwamba hakuna haja tena kwao kuliibia taifa kupitia vitendo vya kifisadi. Wizi na ufisadi vimekuwa vitendo vilivyoshamiri katika sekta ya umma nchini humo.
HII HAPA NI ORODHA YA VIONGOZI WANAOLIPWA MISHAHARA MIKUBWA DUNIANI.
HIVI KWELI KENYA NI TAJIRI SANA KUIZIDI MAREKANI???????
- Lee Hsien Loong – Waziri Mkuu wa Singapore: Dola 2,856,930 (Tsh 4.5bn) kwa mwaka.
- Donald Tsang – Mtawala Mkuu wa Hong Kong ambayo sasa ni sehemu ya China: Dola 513,245 (Tsh 821m/-) kwa mwaka.
- Raila Odinga – Waziri Mkuu wa Kenya: Dola 427,886 (TSh 684m/-) kwa mwaka.
- Barack Obama – Rais wa Marekani: Dola 400,000 (Tsh 640m/-) kwa mwaka.
- Nicolas Sarkozy – Rais wa Ufaransa – Dola 345,423 (TSh 552.6m/-) kwa mwaka.
- Stephen Harper – Waziri Mkuu wa Canada: Dola 296,400 (Tsh 474.2m/-) kwa mwaka.
- Mary McAleese – Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Ireland: Dola 287,900 (Sh. 460.6 milioni) kwa mwaka.
- Julia Gillard – Waziri Mkuu wa Australia: Dola 286,752 (Sh. 458.8 milioni) kwa mwaka.
- Angela Merkel – Waziri Mkuu (Chancellor) wa Ujerumani: Dola 283,608 (Sh. 453.7 milioni) kwa mwaka.
- Naoto Kan – Waziri Mkuu wa Japan: Dola 273,676 (Sh. 437.8 milioni) kwa mwaka.
- Jacob Zuma – Rais wa Afrika ya Kusini: Dola 272,280 (Sh. 435.6 milioni) kwa mwaka.
- John Key – Waziri Mkuu wa New Zealand: Dola 271,799 ( Tsh 434.8m/-) kwa mwaka.
- David Cameron – Waziri Mkuu wa Uingereza: Dola 215,390 (Sh. 344.6 milioni) kwa mwaka.
- Ma Ying-jeu – Rais wa Taiwan: Dola 184,200 (Sh. 294.7 milioni) kwa mwaka.
- Lee Myung-bak – Rais wa Korea Kusini: dola 136,669 (Sh. 218.6 milioni) kwa mwaka.

Rank | Name | Country | Title | Salary ($ per year) |
1. | Lee Hsien Loong | Singapore | Prime Minister | 2.75 mln |
2. | Donald Tsang | Hong Kong | Chief Executive | 515,000 |
3. | Barack Obama | USA | President | 400,000 |
4. | Brian Cowen | Ireland | Prime Minister | 342,000 |
5. | Nicolas Sarkozy | France | President | 320,000 |
6. | Kevin Rudd | Australia | Prime Minister | 316,000 |
7. | Stephen Harper | Canada | Prime Minister | 310,000 |
8. | Jacob Zuma | South Africa | President | 306,000 |
9. | Angela Merkel | Germany | Chancellor | 304,000 |
10. | David Cameron | Great Britain | Prime Minister | 300,000 |
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] BADO HELA YA U [/FONT][FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]SENATOR[/FONT][FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] HAPO WENZETU WAKO MAKINI KATIKA KULIPA VIONGOZI WAO LAKINI KAMWE SIO CHINI YA WANACHOLIPWA WAAFRIKA NATHANI UNAJUA GHARAMA WANAZO TUMIA KUMTUNZA YEYE NA FAMILIA YAKE HAZISHIKIKI PIA[/FONT]
Top 10 of the world's highly paid politicians:
Rank Name Country Title Salary ($ per year) 1. Lee Hsien Loong Singapore Prime Minister 2.75 mln 2. Donald Tsang Hong Kong Chief Executive 515,000 3. Barack Obama USA President 400,000 4. Brian Cowen Ireland Prime Minister 342,000 5. Nicolas Sarkozy France President 320,000 6. Kevin Rudd Australia Prime Minister 316,000 7. Stephen Harper Canada Prime Minister 310,000 8. Jacob Zuma South Africa President 306,000 9. Angela Merkel Germany Chancellor 304,000 10. David Cameron Great Britain Prime Minister 300,000
2010-07-21.
Nadhani wanazungumzia viongozi.Rooney halipwi kwa kutumia pesa za walipa kodi.Hapo ndo kuna utofauti.U got it twisted.Please compare aples to aples.Kama kuna mwanamichezo analipwa zaidi ya Rais wa nchi fulani, hapo nchi haina maana kuwa sasa Rais na yeye alipwe zaidi ya mwanamichezo huyo.Angalia thread inazungumzia viongozi na si wanamichezo.Hao ni matajiri kuliko viongozi wengi tu.Labda Camaroon na yeye aichezee man u.Pesa za wananchi si za kuchezea.Asante kwa kutuwekea Gazeti la Mwanahalisi la tar. 17-23 August 2011, huo ndio ukweli kuhusu Kenya, Je Kibaki na Kalonzo Musyoka wapo juu ya Odinga wanalipwa ngapi? Imagine....!
Ila hii ya Rooney wa Man U analipwa takriban pound 170,000 kwa wiki, sawa na pound 8.8 mil kwa mwaka, huku Waziri mkuu wake David Cameroon analipwa dola 215,390 au pound 132,336 kwa mwaka inatisha, hii ni kusema Rooney anamzidi Waziri mkuu wake mara 66 kwa mshahara kwa mwaka, ndio utajua Duniani tunatofautiana saaana, watu mkatae tu, we are different sana
Hawa waliotoa hii record wanajua mshahara wa kikwete? au wanalopoka tu
wanatafuta umaarufu tu hao, ni hakika kwenye namba 6 raisi wetu mpendwa kikwete hakosemani
wanamuonea kwa sababu ya dini yake
Mkuu Mshahara wa Mkulu wa mwezi ni sawa na Mshahara wa Obama wa mwaka mzima. kiujanja ujanja hawauiti ni mshahara, wanasema ni posho