Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
"2025 huu ni mwaka wa uchaguzi, sisi kama serikali, kama wadau wa uchaguzi, pindi tume huru ya uchaguzi watatoa ratiba tunatarajia nyie ndiyo mtalieleza taifa (Wanahabari) na sisi ushiriki wetu ni kuhakikisha kwamba yale yaliyo muhimu ya kuufanya uchaguzi huu kuwa wa usalama, na kila mmoja atakwenda kushiriki kwa usalama wake.. Na watu wa tume huru ya uchaguzi wametuambia kwamba uchaguzi huu watausimamia kwa uhuru na haki na uwazi. Na sisi serikali kama wadau wa uchaguzi tunataka tuwahakikishie kuwa uchaguzi huu utakuwa ni wa amani na utulivu" -
Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameyasema hayo katika Maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, (World Press Freedom Day 2025) yaliyofanyika jijini Arusha leo Aprili 29, 2025 kwenye Hoteli ya Gran Melia
Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameyasema hayo katika Maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, (World Press Freedom Day 2025) yaliyofanyika jijini Arusha leo Aprili 29, 2025 kwenye Hoteli ya Gran Melia