Mwenye uwezo wa kufanya hivyo alisha-KOLIMBIWA!Sasa naanza kuaminiserikali hii haina viongozi wenye hekima na busara. Kwa nini msiwatafute wazee wawashauri?
Mgogoro wa Mtwara Bunge lilihairishwa, Arusha kazi mtindo mmoja, Sasa kama serikali iliwapenda raia kwa nini haikuwahakikishia ulinzi sasa ndo ichangamkie mazishi?
Mbona viongozi wa serikali hii mnatuaibisha namna hii?
watafuteni viongozi wa dini wawashauri katika hili maana sasa ni dhahiri Neema ya Mungu imeshawtoka kiasi cha kutisha na mnayafanya haya mkijua mnategemea ugeni mkubwa wa hao wanaowasaidia kuendesha bajeti zenu, hamuoni mnazidisha chuki kwa wananchi bure.
Mzee Pinda nadhani tumia useminari wako kumkumbuka Mwenyezi Mungu na namna anavyofanya kazi yake. Ninyi hakikisheni mnaweka BATALIONI Nzima kuwalinda wafanye Ibada yao wakawapumzishe marehemu wao. Ninyi endeleenina Bunge la Bajeti ya Wizara ya fedha bila MWONGOZO wala kuhusu UTARATIBU
I'm puzzled by government and CHADEMA stance.
Kwa nini wanajichukulia jukumu la kuwa wasemaji, mabwana mipango na decision maker.
What's special?.
They're both acting like haughty and autarch.
Why can't you leave the deceased family, relatives and friends alone.
This is too much.
Maku mkubwa huyu...wawazike wao ili nini...wanatafuta sifa kwenye maitI za watu...wakajizike wenyewe na mavirusi yao
stroke,nimeamini majina humwumba binadamu.Mleta mada amesema 'vijana wa kimeru' ,hakusema vijana kutoka jimbo la Mh Nasari.Hivi kuna jimbo la arusha magharibi?Shirikisha ubongo hata kama una 'stroke',huenda haujafa wote.hilo bomba halipo katika jimbo la Nasari, huo ni uchochezi, chanzo cha maji kipo Bangata ambayo ni jimbo la arusha magharibi, nina wasiwasi na hao waliokwenda kukata hilo bommba la maji....
Kuzika ni haki ya wafiwa, Serikali inaweza kuchangia gharama, lakini wenye kauli ya mwisho ni wafiwa. Waliokufa sio viongozi wa serikali au wanajeshi waliofia katika viwanja vya vita, Pinda acha Ubabe katika msiba mliouandaamkuu hili nisuala la kitaifa mimi naona kafanya sahihi kusema serikali itazika, ulitaka azike nani mkuu?
mkuu hili nisuala la kitaifa mimi naona kafanya sahihi kusema serikali itazika, ulitaka azike nani mkuu?
wewe. Fa la Bocho Mkuu Mungi kasema wameru na wala hakusema magharibi au mashariki nyambaf soma thread uielewe kabla ya kujibuAcha uwongo mungi. Bomba toka lini likawa kule kwa nassari? Maji yote watu wanayokunywa watu wa arusha mjini na monduli yanatokea arumeru magharibi. Kuanzia bangata, oligilai, kimelok na kiding'a. Pia haya maji ni mengi sana bomba likipasuka linaweza kuleta athari kubwa sana kwa watu waliopo karibu nayo hivyo hakuna mtu mwenye uwezo wa kuyagusa. Pia kwenye hivyo vyanzo vyote kuna ulinzi mkali wa JWTZ na hakuna mtu anaruhusiwa kusogelea. Hii ni kwaajili ya kuepusha watu wenye nia mbaya kama nyie wasiweze kuweka sumu na kuatarisha usalama wa wananchi wa arusha. Angalia utakuja kusutwa kwa umbea na uchochezi wa kitoto. Sisa hovyo kama hizi ni mbaya kuwa mtu mzima na utafute maisha yako sio kutafuta sifa za kijinga humu. KWA HALI HII NAAMINI CHADEMA KIMEUSIKA NA BOMU LA JUZI ILI KUWACHONGANISHA SERIKALI NA WANANCHI WAKE NA KUPATA KURA ZA HURUMA.
Pinda is a very obnoxious man......and yet he attend mass every other Sunday....and a Ctholic at that!
Majanga...Mtoto nizae mimi
kuua muue nyie
tena mnataka kuzika nyie
Labda niwe sijamzaa.
Attending mass does not inoculate one from being obnoxious.
Some of the most obnoxious people in history were obnoxious because they attended religious services, not despite atending religious services.
Attending religious services gave them the right to be even more obnoxious, they had god on speed dial after all.
Ulichoandika hapa nape na mwigulu hawajui,hawajui kabisa,wanaona mambo kawaida tu,yanashangilia ushindi kama MAZUZU, ofcoz ni MAZUZU,yanaona hayatambui,yanaskia hayaelewi! ni MAZUZU,blood clot ccm,mafi ya mende
Ndugu zanguni sasa ndo safari ya kuangamizana imeanza hivyo. Ikumbukwe kwamba kama CCM ya akina mwigulu, nape na kINANA HAITAKAA KUWASIKILIZA WATU WANTAKA NINI kwa hili la arumeru linaweza kuzagaa nchi nzima. nawasifu sana viongozi wa CHADEMA wakiingiliwa na mdudu watoa kauli vinginevyo mambo yataharibika. Tujirudi na tuwasikilize wananchi na wala tusiwabeze. Vipigo mlivyowapa wana CHADEMA kwenye uchaguzi huu vimewatia watu hasira kali na bomu nalo limesababisha hasira vilevile.
Comment nzuri ila Rangi uliyotumia kwenye font inaleta kichefuchefu.. imekaa ki CCM zaidiNdugu zanguni sasa ndo safari ya kuangamizana imeanza hivyo. Ikumbukwe kwamba kama CCM ya akina mwigulu, nape na kINANA HAITAKAA KUWASIKILIZA WATU WANTAKA NINI kwa hili la arumeru linaweza kuzagaa nchi nzima. Watawala wapaswa kujua kwamba watu wamesha umizwa na wanazo kero kibao kinachosubiriwa ni kitu cha kuwasha cheche.
Nawahurumia watawala maana wanadhani majeshi na silaha yanaweza kuhimili nguvu ya UMMA tena nawasifu sana viongozi wa CHADEMA wakiingiliwa na mdudu watoa kauli vinginevyo mambo yataharibika. Tujirudi na tuwasikilize wananchi na wala tusiwabeze. Vipigo mlivyowapa wana CHADEMA kwenye uchaguzi huu vimewatia watu hasira kali na bomu nalo limesababisha hasira vilevile.