WAZIRI MKUU PINDA: Maiti wote wa mlipuko wa Bomu watazikwa na Serikali!!

Lowasa apeleke maji ya ziwa victoria yeye si anahela bwana tuone kiburi chake
 
Pinda naye amekosa hekima kwa kuendeleza siasa wakati anatakiwa atumikie wananchi wote
 
Sasa naanza kuaminiserikali hii haina viongozi wenye hekima na busara. Kwa nini msiwatafute wazee wawashauri?

Mgogoro wa Mtwara Bunge lilihairishwa, Arusha kazi mtindo mmoja, Sasa kama serikali iliwapenda raia kwa nini haikuwahakikishia ulinzi sasa ndo ichangamkie mazishi?
Mbona viongozi wa serikali hii mnatuaibisha namna hii?

watafuteni viongozi wa dini wawashauri katika hili maana sasa ni dhahiri Neema ya Mungu imeshawtoka kiasi cha kutisha na mnayafanya haya mkijua mnategemea ugeni mkubwa wa hao wanaowasaidia kuendesha bajeti zenu, hamuoni mnazidisha chuki kwa wananchi bure.

Mzee Pinda nadhani tumia useminari wako kumkumbuka Mwenyezi Mungu na namna anavyofanya kazi yake. Ninyi hakikisheni mnaweka BATALIONI Nzima kuwalinda wafanye Ibada yao wakawapumzishe marehemu wao. Ninyi endeleenina Bunge la Bajeti ya Wizara ya fedha bila MWONGOZO wala kuhusu UTARATIBU
Mwenye uwezo wa kufanya hivyo alisha-KOLIMBIWA!
Wamebaki manyani waishio na watu
 
I'm puzzled by government and CHADEMA stance.

Kwa nini wanajichukulia jukumu la kuwa wasemaji, mabwana mipango na decision maker.

What's special?.

They're both acting like haughty and autarch.

Why can't you leave the deceased family, relatives and friends alone.

This is too much.

chadema inakupa kitendawili gani wewe? Did u talk to any family or friends of deceased family? (the answer must be no, b'se u didnt) .... ndugu wa marehemu wanataka ushirikiano na chadema kwasababu marehemu walikuwa wapenzi na viongozi wa chadema na zaidi wanaamini Serikali ndiyo iliyowaua ndugu zao.
 
hilo bomba halipo katika jimbo la Nasari, huo ni uchochezi, chanzo cha maji kipo Bangata ambayo ni jimbo la arusha magharibi, nina wasiwasi na hao waliokwenda kukata hilo bommba la maji....
stroke,nimeamini majina humwumba binadamu.Mleta mada amesema 'vijana wa kimeru' ,hakusema vijana kutoka jimbo la Mh Nasari.Hivi kuna jimbo la arusha magharibi?Shirikisha ubongo hata kama una 'stroke',huenda haujafa wote.
 
mkuu hili nisuala la kitaifa mimi naona kafanya sahihi kusema serikali itazika, ulitaka azike nani mkuu?
Kuzika ni haki ya wafiwa, Serikali inaweza kuchangia gharama, lakini wenye kauli ya mwisho ni wafiwa. Waliokufa sio viongozi wa serikali au wanajeshi waliofia katika viwanja vya vita, Pinda acha Ubabe katika msiba mliouandaa
 
Acha uwongo mungi. Bomba toka lini likawa kule kwa nassari? Maji yote watu wanayokunywa watu wa arusha mjini na monduli yanatokea arumeru magharibi. Kuanzia bangata, oligilai, kimelok na kiding'a. Pia haya maji ni mengi sana bomba likipasuka linaweza kuleta athari kubwa sana kwa watu waliopo karibu nayo hivyo hakuna mtu mwenye uwezo wa kuyagusa. Pia kwenye hivyo vyanzo vyote kuna ulinzi mkali wa JWTZ na hakuna mtu anaruhusiwa kusogelea. Hii ni kwaajili ya kuepusha watu wenye nia mbaya kama nyie wasiweze kuweka sumu na kuatarisha usalama wa wananchi wa arusha. Angalia utakuja kusutwa kwa umbea na uchochezi wa kitoto. Sisa hovyo kama hizi ni mbaya kuwa mtu mzima na utafute maisha yako sio kutafuta sifa za kijinga humu. KWA HALI HII NAAMINI CHADEMA KIMEUSIKA NA BOMU LA JUZI ILI KUWACHONGANISHA SERIKALI NA WANANCHI WAKE NA KUPATA KURA ZA HURUMA.
wewe. Fa la Bocho Mkuu Mungi kasema wameru na wala hakusema magharibi au mashariki nyambaf soma thread uielewe kabla ya kujibu
 
Last edited by a moderator:
Hapa Serikali ni suspect number one alafu wanataka wazike watu waliowaua wao? Kweli nchi hii ni vichekesho
 
Pinda is a very obnoxious man......and yet he attend mass every other Sunday....and a Ctholic at that!

Attending mass does not inoculate one from being obnoxious.

Some of the most obnoxious people in history were obnoxious because they attended religious services, not despite atending religious services.

Attending religious services gave them the right to be even more obnoxious, they had god on speed dial after all.
 
Attending mass does not inoculate one from being obnoxious.

Some of the most obnoxious people in history were obnoxious because they attended religious services, not despite atending religious services.

Attending religious services gave them the right to be even more obnoxious, they had god on speed dial after all.

Brother....that is very philosophical of you
 
Lowasa amezoeaga kutishia huyo chasaka wake wa Bwagamoyo, anayempigia magoti, sasa hapa amefika kunako utamu, eee lazima aipate ya Mubarak wa Misri hatumhanyi na minywele yake kama hana heshima na sisi hatumpi heshima akafilie mbali na kutetemeka kwake na macho mabovu, yaani bifu la uchaguzi wa Meru ndo anatembea nalo! to hell Lowasa kwani unamsaidiaga nani huku Meru wewee!
 
wewe. Fa la Bocho Mkuu Mungi kasema wameru na wala hakusema magharibi au mashariki nyambaf soma thread uielewe kabla ya kujibu

Acha kufata mkumbo. Soma post yangu vizuri utaelewa nachokisema. Hayo maji kuyafanyia hujuma ni ngumu sana. Usizani hilo bomba ni 1.5 . Fikirieni na mfanye utafiti sio kuleta akili zenu hovyo hapa.
 
Last edited by a moderator:
Ulichoandika hapa nape na mwigulu hawajui,hawajui kabisa,wanaona mambo kawaida tu,yanashangilia ushindi kama MAZUZU, ofcoz ni MAZUZU,yanaona hayatambui,yanaskia hayaelewi! ni MAZUZU,blood clot ccm,mafi ya mende
Ndugu zanguni sasa ndo safari ya kuangamizana imeanza hivyo. Ikumbukwe kwamba kama CCM ya akina mwigulu, nape na kINANA HAITAKAA KUWASIKILIZA WATU WANTAKA NINI kwa hili la arumeru linaweza kuzagaa nchi nzima. nawasifu sana viongozi wa CHADEMA wakiingiliwa na mdudu watoa kauli vinginevyo mambo yataharibika. Tujirudi na tuwasikilize wananchi na wala tusiwabeze. Vipigo mlivyowapa wana CHADEMA kwenye uchaguzi huu vimewatia watu hasira kali na bomu nalo limesababisha hasira vilevile.

hizo kelele zote za nini? Hivi mngeshinda hata nusu ya kata zote zilizogembewa za udiwani naona fujo zisingetokea?
Sasa Arusha tu ndio fujo zote hizo kwa ajili ya Siasa si bora mji huo utawaliwe na Tume (Kama ile ya Keenja kwa Jiji la DSM iliyoteul;iwa na Sumaye)

Kata 16 zimeshapatikana bado katika hizo za arusha ni lazima CCM itatungua baadhi kwani CHADEMA haiwezi fikisha 10 katika hizo 26
Msiwasemee waTanzania sisi vurugu hatutaki na kuna baadhi ya wenzenu hapo arusha hawaijui JF wala hawapendi mabomu na vurugu
 
Ndugu zanguni sasa ndo safari ya kuangamizana imeanza hivyo. Ikumbukwe kwamba kama CCM ya akina mwigulu, nape na kINANA HAITAKAA KUWASIKILIZA WATU WANTAKA NINI kwa hili la arumeru linaweza kuzagaa nchi nzima. Watawala wapaswa kujua kwamba watu wamesha umizwa na wanazo kero kibao kinachosubiriwa ni kitu cha kuwasha cheche.

Nawahurumia watawala maana wanadhani majeshi na silaha yanaweza kuhimili nguvu ya UMMA tena nawasifu sana viongozi wa CHADEMA wakiingiliwa na mdudu watoa kauli vinginevyo mambo yataharibika. Tujirudi na tuwasikilize wananchi na wala tusiwabeze. Vipigo mlivyowapa wana CHADEMA kwenye uchaguzi huu vimewatia watu hasira kali na bomu nalo limesababisha hasira vilevile.
Comment nzuri ila Rangi uliyotumia kwenye font inaleta kichefuchefu.. imekaa ki CCM zaidi
 
Back
Top Bottom