Waziri Mkuu Pinda ashtakiwa mahakamani

Waziri Mkuu Pinda ashtakiwa mahakamani

Mkuu. wewe subiri utaonba mazingaombwe. Serikali siku zote ni kijogoo. Hapo utasikia DPP anapinga na majaji wanaambiwa na mwajiri wao wanyamaze na mambo kimyaaaaaa! Maana Mahakama inajitegemea kinadharia tu, kiuhalisia wanafanya kazi ya mwajiri wao raisi. Labda JK akae kimya kama anavyowafanyia mawaziri wengine, lakini kuhusu pinda sidhani, maana akikaa kimya anajua zamu inayofuata ni yeye, lazima arushe mateke mapema kujihami.

Hili mkuu kwa kiwango kikubwa kila mwenye kufikiria kwa kutumia kichwa analitegemea kwa zaidi ya 65% (kiwango changu na mtazamo wangu) kwa sababu na lililo wazi mbele ya safari na iwapo mahakama itafanya kazi yake kwa uhuru ni kuwa PM akikutwa na hatia ya kuvunja katiba aliyoapa kuwa atailinda maana yake ni moja tu kuwa serikali yote itaanguka chali kama tu ilivyotokea wakati alipojiuzulu the previous PM Lowassa in 2008!!..Who is ready for this? Serikali chini ya CCM katika kipindi hiki?? I dont know and I also dont believe!!....,hata hivyo aisee hii ikitokea basi mimi nitakuwa wa kwanza kumpa BIG UP JK kuwa ni kweli ameruhusu demokrasia kuchukua nafasi yake!!.....but this is almost impossible to about 100% at least during this difficult political era for CCM!!

Binafsi mimi si mwanasheria.Lakini kwa ujumla huu ni mtihani mwingine mkubwa kwa CCM na serikali yao na hakika imewakalia vibaya kwa sababu umma wote unalitazama hili kwa macho manne. Whether PM atanusurika kutiwa hatiani au vinginevyo, impact yake kisiasa hasa kwa serikali ya CCM na hatima yao huko mbeleni ktk zama hizi ni mbaya.

Na hii tuwalaumu CCM na PINDA mwenyewe kwani hii ishu haikuwa ya kufikia kiwango hiki. Kwani tangu awali tena humohumo ndani ya Mjengo (bungeni) angekubali tu kuwa ameteleza na kisha kuiweka sawa au kuifuta kabisa kauli yake watu wangekuwa wameshasahau na madhara yake yangekuwa kiduchu kuliko ya hili la sasa bila kujali litaishaje!!....Mbona alitelezaga kwa kauli yake ya mauji ya albino akaliona hilo na kulirekebisha na akaomba radhi japo alilia kama mtoto mdogo (ambao nao ni udhaifu mkubwa kwa kiongozi wa level yake kulia) na yakaisha? Why this? Ina maana wao ktk CCM na serikali hawawezi kuisoma katiba na kuitafsiri kwa ufasaha na ipasavyo?

Hii sasa tunaamini kabisa kumbe ni kweli kuwa ndani ya CCM/SERIKALI yote kwa ujumla basi hakuna washauri wazuri ambao ni visionary wanaoweza kuepusha mapema matatizo kama haya.Hivi hawa jamaa wamekaa kwa ushindani wa kisiiasa kweli au wao wanadhani watatawala tuuu milele hata kama wanafanya makosa ya kipuuzi kama haya??..Hivi wao hawajui kuwa wako ktk kipindi kigumu cha ushindani wa kisiasa na kwamba unapofanya makosa kidogo tu, wapinzani wako kisiasa wanayatumia kukumaliza?? Na hili ni JANGA LA TAIFA!!
 
Kumshitaki Waziri Mkuu ni kuvunja katiba.

Kumfungilia mashitaka mahakamani ni kulidhalilisha bunge.

Mambo ya kibunge ufanyika na kumalizwa kibunge-bunge.

Labda tu kama hakuna kingine cha kufanya kwa sasa.

Ni vema LHRC wakatazama upya shauri lao kwani
tafsiri ya kauli ya PM bado inawasumbua kuitafsiri
kwa maana halisi na dhima yake kwa wakati
ilipotolewa.

Na ikumbukwe kuwa cheo cha PM sio cha kubabaisha
ni cheo kikubwa hasa kwa upande wa utekelezaji wa
sera,kanuni na miongozi kwa upande wa Tanzania bara.

Hivyo kumfungulia mashitaka si tu kumdhalilisha bali ni
kuondoa dhima nzima ya cheo cha PM.

Ni vema LHRC wakapima na ikiwezekana kufanya maamuzi
ya kisheria ya kitu gani kilichomfanya PM akatoa kauli ile ili
nako huko waweze kuwajibishwa kisheria.

La sivyo kituo mahili hiki cha wanasheria kitaonekana kama
ni mojawapo ya tasisi za kimkakati za upande fulani katika
kuinyong'onyesha dora kwa kutumia sentensi na baadhi ya
kauli tata za kitawala.

How old are you?
 
“Sasa kama wewe umekaidi, hutaki unaona kwamba ni imara zaidi... wewe ndiyo jeuri zaidi watakupiga tu.... Mimi nasema muwapige tu, kwa sababu hakuna namna nyingine...


“Sasa kama wewe umekaidi, hutaki unaona kwamba ni imara zaidi... wewe ndiyo waziri mkuu jeuri zaidi watakushitaki tu.... Mimi nasema mumshitaki tu, kwa sababu hakuna namna nyingine...
 
Sijui atalia tena hahahaha
ngoja tusubiri movie
Mh. Pinda ametudhalilisha na ametukana
Na sisi tumechoka ashitakiwe tuu
huyu mzee hafai na hajawahi kua na maamuzi thabiti, tusubiri tutamsikia na kauli zake ...
ifikie pahali LHRC, naona au ningeshauri mtafte njia nyingine sio kwenda mahakamani jamani.
 
Pinda ni PM wa kupinda sheria na taratibu za nchi. anastahili ashtakiwe na aadhibiwe na Mahakama.

Tusilete ubishi wa kipuuzi hapa. Pinda amevunja sheria na katiba ya nchi kwa kuagiza Jeshi la Polisi livunje sheria na Katiba za nchi kwa KUPIGA Watanzania bila sababu. Tayari tumeshaona madhara ya AMRI hii ya Pinda,watu wamepigwa na kuuliwa sehemu mbalimbali nchini kwa amri ya Pinda!

Kusema ati Pinda alitamka maneno haya akiwa Bungeni kwa hiyo ana kinga(immunity) ya Bunge ni upumbavu kama Pinda mwenyewe alivyo --------.Ifikie mahali Watanzania tubadilike kwa kukataa hizi sheria za kipuuzi mtu kutumia KINGA YA BUNGE kwa kutoa amri za KIDIKTETA akiwa Bungeni halafu yeye akabaki salama. This must be refuted with a BIG NO!

Hatutaki kuona miungu watu hapa. Hata anachosema DPP ni walewale! Haijalishi alisema PIGA NA KUUA au PIGA TU. Yote ni makosa. Hakuna piga inayokubalika hapa iwe ya kuua au kupiga tu! Kupiga ni kupiga tu. Kuna mabomu ya machozi yamepiga na kuua watu,kuna vitu vizito vimepiga na kuua watu,kuna mabomu ya kivita yamepiga na kuua watu, kuna risasi za moto zimepiga na kuuwa Raia wasio na hatia. DPP asitake kutufanya Watanzania hatuijui lugha yetu ya Kiswahili au hatujui sheria. Kuwa DPP au PM siyo kuwa wewe ni bora na unajua kila kitu!

Kama Pinda ni mwungwana alitakiwa aombe radhi kwa Watanzania! Lakini hajafanya hivo kuonyesha jeuri,dharau na kebehi kwa Watanzania kwa kutaka kutumia Kinga ya Bunge. Lazima Mahakama zibatilishe hii sheria kwa vile tayari imeleta madhara kwa Watanzania.
 
Tayari hii iko kwenye rekodi. Ni ushindi mkubwa. Haijawahi kutokea tena ndani ya Jamhuri ya Tanzania Kiogozi wa ngazi kama hii kuburuzwa mahakamani potelea mbali matokeo ya Kesi yenyewe.-

Tena natamani asimame mwenyewe Kizimbani na siyo kumtuma WAKILI. Tuone mtu mzima atakavyolia machozi tena.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Jamani mbona mnamuandama hivi mtoto wa mkulima? Teh teh teh...muacheni 'apumuwe'
 
Hivi ile ya Ulimboka ilikuwa kupiga au kupiga mpaka kua? Manake unaweza kupiga mpaka mtu akakaribia kufa, kuna kung'a kucha na macho au meno? Hii nayo vp?
 
Huwezi kuniambia kuwa VIBURI vya viongozi wengine haitaguswa na UTHUBUTU unaoonyeshwa na Watanzania wa ENZI hii ya-DIGITALLY!!

... Kiongozi YEYOTE ...aweze kuburuzwa mahakamani. Hilo liwe wazi kabisa kuanzia sasa.-
You lost me. I don't see your argument
 
DPP HUKUMWELEWA NA HUJAMWELEWA,kunakazi kubwa sana ya kuwasaidia watu kama wewe mkuu.

Ameeleweka vizuri sana mkuu kuwa PM aliposema "PIGA" hakuwa na maana ya "PIGA UA".Kwa DPP angelisema hivyo ndo ingekuwa kinyume na Katiba, kosa. Wewe unasemaje kwani? Unamwelewaji DPP?.....Na kwa upande wangu mimi, sidhani kama unaweza kunisaidia "kufikiri" mimi kama mimi. Mimi nadhani kuwasaidia watu kama kina DPP na wewe ni kaaazi kwelikweli ndilo tatizo letu sasa!!
 
Hii ni purely politics, maana LHRC na TLS wanajua kabisa nini remedies za declaratory orders, na wanajua kabisa kuwa pilitical matters are not justiciable, nasubiria kuona arguments zilizoshiba katika kuchanganua parliamentary immunity oamoja na tafsiri ya neno "wapigeni" kama linashahabiana na neno "pigeni muue" au "piga ua"otherwise limekaa kisiasa zaidi kuliko kimantiki

Ni kisiasa. Hawa waheshimiwa wanataka kuweka 'precedent'na si kumburuza Pinda kama inavyoeleweka kwa watu.
 
Tangu kuumbwa kwa dunia bhAijawahi tokea waziri mkuu ------- kama pinda

AshtAkiwe akikutwa na hatia anyongwe,
 
Back
Top Bottom