Waziri Mkuu Pinda ashtakiwa mahakamani

Waziri Mkuu Pinda ashtakiwa mahakamani

Umeona eeh!!?
CDM imeamsha Watanganyika ,na Mabomu yametutia Ujasiri..
Hatuko waoga tena..
Wachache tulio wachagua,wako imara kututetea..
Tuko tayari kuifia Tanyanyika yetu thidi ya Mapapa Lumumba...
Mchema kaa tayari,ukiona Pinda Katiwa Nyembe nawe panga foleni...

Ukiangalia vashiria vya Kisiasa ... MUAMKO ambao Chama tawala hakina UWEZO wa Kuingilia -..

1. Kwa nama isiyozuilika Mbunge wake amatajwa kuhusu suala la Madawa ya Kulevya ... ( Serekali haikutegemea ...
2. UTHUBUTU ... wa kuburuza viongozi wa ngazi kama ya Pinda Mahakamani ( Ilikuwa inaonekana kama ndoto ...
3. Kongamano lilifanyika UDSM jumapili ... lilifungua UTHUBUTU fulani ( Sereakali haima mshiko pale....

Kuna Muamko na mwenye Maono anaweza kuona kuwa Kuna MAMLAKA kwa namna fulani YANAPONYOKA serekali na kwenda kwa Wanachi .. Na kwa aina ya Serekali tuliyonayo hata ifanyeje haiwezi kuyarudisha kwenye Himaya yake!!
 
Natamani katika mwenendo wa kesi hiyo ifike siku yeye mwenyewe aburutwe Live Kizimbani, na si kutuma mawakili tu!
Sikutegemea kuwa huyu mzee angekuwa stiff-necked kiasi hicho. Hivi vyeo visivyosomewa bwana, vina shida sana!
 
Ikiwezekana na hata abambikiziwe kosa la mauaji kwani hana hata haya huyu jitu!

Eti PIGA TU utafikiri katuzaa yeye! P.u .mb.av.u sana!
 
Hata kama hatakutwa na hatia tumepata precedent kuwa PM mmoja Tanzania alifikishwa mahakamani. Tutasoma kwenye case laws na itabaki hivyo kwa vizazi.
 
Njooni muone machalii Wa TZ wanaanza kuamka... ! Kuna shetani kaponyoka kaacha Kazi yake ya kuwafumba wa-Tz Na sasa wameanza kutoa tongotongo Na kuona Kwa usawa.

Kama Mahakama itafanya Kazi yake barabara Basi VIONGOZI Miungu-watu wataanza kupata kihoro Maana wapo kila mahali Na hujinadi Sheria ziko chini Yao..

Kuna majasiri wanahitaji Tuzo this Madam is among them..
 
ashtakiwe tu ...eeh maana tumechoka na kauli zake hakuna namna
 
DPP anasema Pinda hana hatia kwa sababu hakusema pigeni tu na sio piga hadi kuua. Hapo kwenye "wapigeni tu" angetoa pia ukomo wa kupiga. Wakati mwingine kifo huja hata kwa kofi moja tu! Nadhani kama haki itatendeka Pinda hatachomoka kwa hili.

ndugu, usiwe na wasiwasi na kauli za DPP, yey ni kilaza maarufu hajawahi kushinda kesi kama hizo, afu pia sio mtafiti na nafikiri pia weledi ni tatizo pale. sasa anakana kitu ambacho kiko wazi, yeye aubirie kwenda kujibu hoja mahakamani aache kujibu jibu pasipo upembuzi yakinifu. pinda alikosea na alistahili kuliweka hili wazi mbele za wananchi watz ili asamehewe, lakini kwa kujua kwamba yeye ni mkuu na hana wa kumsumbua akauchuna. ama kweli "mazoea yanataabu"
 
Tusigeuke kuwa mahakimu madamu limeshatinga mahakamani tusubiri, ila naamini hakuna hoja ya msingi hapa sana sana, huyu mama BISIMBA anaendeleza tu kule kutumiwa na wanasiasa kuishambulia serikali kwani yapo mambo mengi yanayokiuka haki za binadamu tena yanayofanywa na wanasiasa hayaoni.
 
Njooni muone machalii Wa TZ wanaanza kuamka... ! Kuna shetani kaponyoka kaacha Kazi yake ya kuwafumba wa-Tz Na sasa wameanza kutoa tongotongo Na kuona Kwa usawa.

Kama Mahakama itafanya Kazi yake barabara Basi VIONGOZI Miungu-watu wataanza kupata kihoro Maana wapo kila mahali Na hujinadi Sheria ziko chini Yao..

Kuna majasiri wanahitaji Tuzo this Madam is among them..

Hakuna lolote hapo zaidi ya huyu mama kutumiwa na wanasiasa, Mbona hawapeleki mahakamani wanasiasa wanaokaidi amri ya Jeshi la Polisi na kufanya mikutano kwa nguvu na hivyo kuhatarisha amani ya nchi?
 
Hakuna shitaka la kumtia hatiani Waziri mkuu, tamko kama hili lina tofauti gani na matamko kama NCHI HAITATAWALIKA, KUTAISIMAMISHA NCHI n.k

Na wewe mpeleke mahakamani huyo aliyesema ''nchi haitatawalika.'' Au umekatazwa?
 
Hakuna lolote hapo zaidi ya huyu mama kutumiwa na wanasiasa, Mbona hawapeleki mahakamani wanasiasa wanaokaidi amri ya Jeshi la Polisi na kufanya mikutano kwa nguvu na hivyo kuhatarisha amani ya nchi?

Wewe ndiye unayempangia kesi za kupeleka mahakamani?
 
Safari hii hajaenda kushitaki the HAGUE? Huyu mama bado ana damu ya RWANDA ya umwagaji damu.
 
Hakuna lolote hapo zaidi ya huyu mama kutumiwa na wanasiasa, Mbona hawapeleki mahakamani wanasiasa wanaokaidi amri ya Jeshi la Polisi na kufanya mikutano kwa nguvu na hivyo kuhatarisha amani ya nchi?

Atawapelekaje wanasiasa mahakamani wakati mkakati wao ni mmoja wa kuidhoofisha Serikali na wao kushika hatamu, jana haujaona ametakwa humu kama mmoja wa wale wanaopitapita kuutaka urais mwaka 2015?
 
Afungwe tu... Maana sasa tumechoka. Hata rais naye ashitakiwe kwa kutotoa taarifa ya waharifu kama wezi wa pesa za EPA na wale wauza madawa ya kulevya aliokiri hadharani kuwa majina yao anayo.

MBOWE naye afungwe kwa vile ameshindwa kutoa ushahidi wa bomu la Arusha kwa vile alikiri hadharani kwa anao.
 
Back
Top Bottom