Na wewe mpeleke mahakamani huyo aliyesema ''nchi haitatawalika.'' Au umekatazwa?
Umejiunga rasmi kumtetea MAMA yako BISIMBA siyo, manake ndo mara yako ya kwanza unaonekana humu.
Na wewe mpeleke mahakamani huyo aliyesema ''nchi haitatawalika.'' Au umekatazwa?
Na wewe mpeleke mahakamani huyo aliyesema ''nchi haitatawalika.'' Au umekatazwa?
Issue siyo kumshatkai, issue ni je kuna mandiki ya kufanya hivyo au ni siasa zimetawala?
Mnajisumbua tu. Kuna kitu kinaitwa kinga ya bunge.
Kama kuna uwezekano wa kufungwa inabidi afungwe iwe fundisho kwa walevi wa madaraka wengine.
Tatizo la WM ni uropokaji
Ndhani kama ni kufungwa
angeanza kufungwa SUGU au yeye hakukiuka haki za binadamu kummtukana?
mengine haya mbwembwe tu za watu kujitafutia umaarufu wa kisiasa. Huyu
mama huenda akachuua fomu ya urais mwaka 2015
Tayari hii iko kwenye rekodi. Ni ushindi mkubwa. Haijawahi kutokea tena ndani ya Jamhuri ya Tanzania Kiogozi wa ngazi kama hii kuburuzwa mahakamani potelea mbali matokeo ya Kesi yenyewe.-
Hakuna kesi hapo jamani zaidi yakupoteza muda wao, na hii kesi watashindwa kwa aibu. Huyu mama single anatumika vibaya na walio mtuma, asijifiche chini ya LHRC ni bora akaingia kwenye Siasa tukajua moja.
sugu hakumtukana alimpasha Pinda kutokana na UMBWIGA wake mjengoni
Nyie maboya mnao-quote mapost marefu mnazingua mjue