Waziri Mkuu Mpya Ajaye...??

SSH kuunda na kuoendesha serikali ya Tanzania ni ndoto. Tutarajie awamu ya nne yaliyotukuta na awamu ya Pili.
 
Waziri wa Utumishi mkwe anaenda kuwa PM, binafsi huwa hata sijui mzee Majaliwa anafanya nini serikalini
Kila akitoa maagizo hakuna anayeyafanyia kazi. Mnakumbuka sakata lake na engineer wa daraja?
Kirahisi tu Mfugale akamuambia tuliza bol.
Mnakumbuka sakata la mkubwa Fulani temeke? Kirahisi tu Yuko nje kwa dhamana na si ajabu kesharudi kazini.
 
Wanaoweza kushika hiyo nafasi ni Hawa

Kassim Majaliwa (kwa heshima tuu )

Mwigulu Nchemba.

Ummy Mwalimu (nafasi finyu)
 
Linganisha hasara linayopata taifa kwa kutokana na Mbowe kukaa mahabusi na hasara linayopata kwa Halima na wenzake kuwa bungeni. Hata kama siyo hao akina Halima bado watapelekwa wengine 19 badala yao, hiyo hakuna cha kuokoa hapo.
Hasara hii hapa 😆😆

Kila akitoa maagizo hakuna anayeyafanyia kazi. Mnakumbuka sakata lake na engineer wa daraja?
Kirahisi tu Mfugale akamuambia tuliza bol.
Mnakumbuka sakata la mkubwa Fulani temeke? Kirahisi tu Yuko nje kwa dhamana na si ajabu kesharudi kazini.
Yupo yupo tu hata hajui kazi
 
sukuma gang mtawehuka Safar hii,

Samia hataki ushauri wako wewe na wanafiki wenzio,

subirini amiri jeshi mkuu awatie adabu nyie wavuruga amani ya Nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…