Kanyunyu
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 335
- 495
Kama kuna kitu ambacho sitakuja kumsamehe waziri mkuu kirahisi iwapo hakuna maelezo ya kujitosheleza ni suala la Faru John. Ningependa Mh Majaliwa ajue kuwa sisi hatukumuomba atwambie kuwa kuna watu waliahidiwa kulipwa Mil 200 ili wafanikishe kumhamisha Faru John kutoka Ngorongoro kwenda Grumet.
Sisi tulikuwa hatulijui hilo, yeye ndiye aliyetujulisha. By the way tulikuwa hata hatujui kuwa kuna Faru amekufa, kama alitaka kulishughulikia kimya kimya angefanya hivyo bila kutueleza chochote.
TUNAMTAKA FARU JOHN NA UKWELI WAKE