Majaliwa naye kilaza tu, ni muongomunkgo fulani.Walisema treni imekamilika wakati dar hata daraja la juu bado.Wanasiasa ni waongo waongo
Mkuu usisahau huyu huyu Waziri Mkuu Majaliwa aliutangazi ulimwengu kuwa hiyo treni ya sgr ingeanza kutoa huduma Nov. 2019.Tunataka wananchi waone kwa usahihi tunaongozwa na serikali ya aina gani. Wamegundua hawana uwezo wa kutekeleza ahadi zao, sasa wanajifichia kwenye siasa chafu za ugaidi wa kutunga. Mambo haya ndio yanatusukuma kutaka katiba mpya itakayoiwajibisha serikali.
Hii reli nadhani hadi mwisho wa huu mwaka maana kipande cha pugu Posta bado hakijakamilika.
Mkui usisahau huyu huyu PM Majaliwa aliutangazi ulimwengu kuwa hiyo treni ya sgr ingeanza kutoa huduma Nov. 2019.
Inaonekana uongo upo ndani ya DNA yake
Haitambui serkali ila manataka SGR mmerogwa nyieKama uzi unavyojionyesha, Waziri Mkuu alisema mwezi huu wa nane SGR kipande cha Dar-Moro kitaanza kazi. Je ni tarehe ngapi treni hiyo itaanza kazi? Badala ya serikali kujifichia kwenye kesi za kubambikiziana, watuonyeshe wanavyotekeleza ahadi za maendeleo.
Tunajua waziri Mkuu huna tabia ya kusema ukweli, mfano ulisema ww na IGP utatoa ripoti ya mtu aliyejiunganishia bomba la mafuta hapa mjini, lakini mpaka leo uko kimya! Ajali ya moto wa soko la kariakoo nayo ukaahidi utatoa ripoti ndani ya siku 7, tena baada ya kuunda kamati. Lakini inaonekana hela zimeliwa na hiyo kamati yako, na uko kimya! Ulifanya hivyo hivyo kwenye ajali ya moto wa lorry la mafuta huko Morogoro. Sasa tuambie SGR inaanza kazi tarehe ngapi mwezi huu?
Kabisa, ndio maana wameanzisha tozo kandamizi ili kupata pesa za kulipa mishahara. Cha ajabu rais kila siku anasafiri na ndege kwa safari zisizo na tija.Hakuna hela Mkuu na hii susia susia ya huduma mbali mbali nchini na kutoomba risiti ukinunua kitu ili kuathiri mapato ya Serikali ikipamba moto basi hii Serikali haramu itakuwa na wakati mgumu sana kulipa hata mishahara.
Mkuu wacha uongo, wewe si ulisema itachukua miaka 40 kukamilika? Njoo November 2020 uone majaribio Moro - Pugu. Dar bakini na ujanja wenu. JPM alimudu zote hizo sasa wameingia watoto wa watumwa kufuja pesa zilizokusanywa na wenye uchungu wa nchi hii.Mambo mazito, mamiradi mengi mno ya bajeti ya kufa mtu ya Magufuli alioyaanzisha kwa mpigo ni mzigo mzito kwa taifa na walipa kodi.
Mkuu wacha uongo, wewe si ulisema itachukua miaka 40 kukamilika? Njoo November 2020 uone majaribio Moro - Pugu. Dar bakini na ujanja wenu. JPM alimudu zote hizo sasa wameingia watoto wa watumwa kufuja pesa zilizokusanywa na wenye uchungu wa nchi hii.