Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 2,926
- 3,054
Eti alisema:
"Rais Magufuli ni mzima wa afya,anachapa kazi"!!!!!.

Kuwa mzalendo in tz yataka moyo sanaBaada ya kuungua kwa Soko la kariakooo yalisemwa mambo mengi ikiwemo hujuma au kuunguzwa kwa makusudi kwa soko husika. Lakini Waziri Mkuu aliunda Tume ya Uchunguzi na akawapa maagizo ya kumletea report ndani ya wiki mbili.
Kama ilivyo ada report iliwasilishwa ndani ya wiki mbili => Waziri Mkuu apokea taarifa ya Uchunguzi wa Moto soko la Kariakoo
Lakini baada ya kuwasilishwa kwa Waziri Mkuu, matarajio ya wengi kama alivyoahidi ni kutoa report hiyo kwa Umma kuhusu kilichosababisha soko kuungua.
Pamoja na hayo yote ikumbukwe Waziri mkuu alishatoa tuhuma kwa watu kuhujumu soko hilo wakiwemo waliokuwa viongozi wa soko la Kariakoo waliofukuzwa na Rais Samia Suluhu kabla ya soko kuungua.
Watanzania walikuwa na hamu sana kujua nini kilisababisha soko hili kuungua. Kwanini Waziri mkuu ameficha hii report? Haina majibu aliyoyatarajia? Amezuiwa kuisoma?
Atoe kama ile ya BENKI KUU jan -machiBaada ya kuungua kwa Soko la kariakooo yalisemwa mambo mengi ikiwemo hujuma au kuunguzwa kwa makusudi kwa soko husika. Lakini Waziri Mkuu aliunda Tume ya Uchunguzi na akawapa maagizo ya kumletea report ndani ya wiki mbili.
Kama ilivyo ada report iliwasilishwa ndani ya wiki mbili => Waziri Mkuu apokea taarifa ya Uchunguzi wa Moto soko la Kariakoo
Lakini baada ya kuwasilishwa kwa Waziri Mkuu, matarajio ya wengi kama alivyoahidi ni kutoa report hiyo kwa Umma kuhusu kilichosababisha soko kuungua.
Pamoja na hayo yote ikumbukwe Waziri mkuu alishatoa tuhuma kwa watu kuhujumu soko hilo wakiwemo waliokuwa viongozi wa soko la Kariakoo waliofukuzwa na Rais Samia Suluhu kabla ya soko kuungua.
Watanzania walikuwa na hamu sana kujua nini kilisababisha soko hili kuungua. Kwanini Waziri mkuu ameficha hii report? Haina majibu aliyoyatarajia? Amezuiwa kuisoma?
Kudanganya Ni mazoea yao, Kuna mwingine alisema atatoa ripoti ya jengo la nasaco lilivyoungua mpaka wa leo Ni jii
Atoe kama ile ya BENKI KUU jan -machi
ripoti ya motoBaada ya kuungua kwa Soko la kariakooo yalisemwa mambo mengi ikiwemo hujuma au kuunguzwa kwa makusudi kwa soko husika. Lakini Waziri Mkuu aliunda Tume ya Uchunguzi na akawapa maagizo ya kumletea report ndani ya wiki mbili.
Kama ilivyo ada report iliwasilishwa ndani ya wiki mbili => Waziri Mkuu apokea taarifa ya Uchunguzi wa Moto soko la Kariakoo
Lakini baada ya kuwasilishwa kwa Waziri Mkuu, matarajio ya wengi kama alivyoahidi ni kutoa report hiyo kwa Umma kuhusu kilichosababisha soko kuungua.
Pamoja na hayo yote ikumbukwe Waziri mkuu alishatoa tuhuma kwa watu kuhujumu soko hilo wakiwemo waliokuwa viongozi wa soko la Kariakoo waliofukuzwa na Rais Samia Suluhu kabla ya soko kuungua.
Watanzania walikuwa na hamu sana kujua nini kilisababisha soko hili kuungua. Kwanini Waziri mkuu ameficha hii report? Haina majibu aliyoyatarajia? Amezuiwa kuisoma?
Tz ukisikia imeundwa tume.....jua kesi imeishaNdio utamaduni wetu, kwani report ya tume ya kuchunguza BOT kuhusu matumizi ya Serikali hadi March 2021 aliyounda RAIS alipoingia madarakani uliisikia matokeo yake?!
Rais ndiye mwenye nchiNi nani mwenye mamlaka ya mwisho kuruhusu ripoti iende public au ikae kifichoni? Yeye anasemaje?
Mkuu nami nilisema siku ile alipotoa taarifa kwamba ameunda tume ya kuchunguza, nilijua haitakuja kutoa majibu, serikali ikifahamu kwa watanzania huwa wasahaulifu saana, ni wachache kama wewe huwa wanafuatailia mambo, hapa watu wengi wanawaza matokeo ya yanga juzi, wameshasahau kwamba soko liliungua moto