Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awasili Chato

Kasim Majaliwa anatakiwa kufanya mambo mawili tu ambayo yatampaisha, moja achukue ukurasa moja tu wa hayati Moringe Sokoine, then mbili ukurasa wa JPM.
 
Waziri mkuu wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa leo amewasili Chato kwenda kumsalimia mama wa hayati rais Magufuli ambaye ni mgonjwa kwa muda mrefu, pia Mh Majaliwa ataenda kuangalia kaburi la Hayati Magufuli na kusalimiana na wanafamilia.

View attachment 1773308

Napendekeza, akitoka hapo, ashuke Butiama na baadaye aruke zake kuelekea Lupaso ili wale wenzetu waliojawa na chuki wafe kwa stress!
 
Sasa ugeni huo ni wa kitaifa au ni wake binafsi?
Kodi zetu zinatumika vibaya ...labda hata kadanganya hajaenda maana haaminiki.
Unalipa kodi wewe au umekariri tu tu kwamba kodi zetu. Kodi ya kupanga tu chumba huna halafu unakuja hapa nyenyenye... sijui kodi za babu yangu. PUMBAFU.
 
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa Chadema kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

Chadema wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la chadema ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu Jamii forum lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza Chadema ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na Chadema kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa Chadema wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lisu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa Chadema lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya Chadema wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

Chadema wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama ,mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame(orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )?
Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

Bavicha na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya Chadema ni Mbowe na Tundu Lisu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.
Kuporomoka kwa Ccm wataulizwa SAMIA na Dr Nchongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa ccm kwa sasa.
Kwa nini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli
Na kama wanataka wapate majibu kutoka kwa magufuli basi inampasa mwenyekiti wa chadema ndugu MBOWE naye afariki ili awe na uwezo wa kwenda ku-communicate na magufuli huko aliko.
 
Nauliza tu,hivi hivi vitu mbona sivisikii nchi zingine?why only in Tanzania?
 
Waziri mkuu wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa leo amewasili Chato kwenda kumsalimia mama wa hayati rais Magufuli ambaye ni mgonjwa kwa muda mrefu, pia Mh Majaliwa ataenda kuangalia kaburi la Hayati Magufuli na kusalimiana na wanafamilia.

View attachment 1773308
Only in Tanzania. Nchi nyingine huwezi kufanya hivi.....!!
 
Ila si nilisikia huyu mama nae amekuwa mwendazake au tulipigwa changa la macho na gogo informa
 
SI desturi zao..km ilivyonwwngine wanachoma maiti nk.
Hata km tunaiga haupaswi kuiga vyote ndo tofauti y sisi na wao.
Kuna wengine hata mazishi ya viongozi wao yanaweza kuwa private .
Kuna ambao rais kulala bure ikulu kula ni gharama yako.
Kuna ambao mfalme au malkia hana sauti na wengine mfalme na malkia wana sauti.
Kuna wengine mfalme na rais wanaruhusiwa au kupaswa kuoa rasmi wake wengi au mke mmoj mmoja kila koo na wengine sio rasmi kuwa na wake wengi
Only in Tanzania. Nchi nyingine huwezi kufanya hivi.....!!
 
Back
Top Bottom