Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,014
- 9,883
Barua za ndani kwa ndani si taarifa kwa ummaZitakuaje siri wakati ni taarifa?
Zitakuaje siri wakati ni taarifa?
Sasa inakuaje zinasambaaBarua za ndani kwa ndani si taarifa kwa umma
Hizo barua zinahusu nini!?Barua za ndani kwa ndani si taarifa kwa umma
Anashangaza sana. Ya kukemea ni mengi tena ya msingi anademka na viji ishu vidogobidogoUjue huyu alikuwa kwenye comittee ya kuomba malaika yaifunge mitandao
Zikishakua za taarifaBarua za taarifa ni tofauti na barua za siri
Ana wivu na utandawazi
Tena msikitini kabisaMajaliwa tangu atoe kauli yake ile "Rais yupo mzima na anachapa kazi ikulu"..nimemtoa thamani kabisa hafai tena kuwa kiongozi
Umma sio watumishi. Na sijasema barua za siriHizo barua zinahusu nini!?
Kama zinawataarifu watumishi basi hizo sio za siri tena
Hata kama zitakua ni za ndani kwa ndani
Maadili hafifuSasa inakuaje zinasambaa
Ndio siri anayozungumzia hapo. Yeye hakupaswa kueleza Rais amepatwa na nini na haipo kwenye mamlaka yake. Huenda na yeye aliambiwa cha kujibu na taasisi ya Rais. Sasa utamlaumu vipi au kumshusha thamani.Majaliwa tangu atoe kauli yake ile "Rais yupo mzima na anachapa kazi ikulu"..nimemtoa thamani kabisa hafai tena kuwa kiongozi