Waziri Mkuu aitaka Wizara kutoa taarifa haraka kuhusu Mechi ya Simba na Yanga pamoja na Viingilio vya Mashabiki

Huyu naye ni Mhuni na laghai Mkubwa. Alitwambia Mwendazake anapitia mafaili. Kweli akapitia mafaili jumla.
Mbona vitu vya kawaida hivyo unakuta mgonjwa mchana unamuacha anakula na kuongea vizuri ila usiku hali inachange na kufariki.
 
Ukimsikiliza anavyoaddress hii issue unakuwa unafikiri neno linalofuata ndiyo lenye uzito ila mpk mwisho hakuna chochote ametoa tamko rahisi ambalo lingeweza kutolewa na yeyote tu wa chini yake mambo mengine ni petty issues tuwaachie wa chini wayahandle tu hasa kwa aliyoyasema. Labda kama angesimama kuzungumzia nini ilikuwa sababu hasa ya delaying ya kick off kutoka 11 mpk 1 lakini sijui lini itachezwa mara viingilio hata Ndimbo angeweza kusema achilia mbali Karia
Waziri Mkuu wetu hopeless sana
 
Simba ndio waliosababisha.Wachezaji wao wengi wamefunga Ramadhani wakawaambia TFF kuwa watakuwa hawana nguvu sababu ya swaaumu hhivyo wakaomba mchezo uchezwe saa moja usiku baada ya wao kufuturu saa 12 jioni

Ndipo sisi yanga tukagoma sababu kanuni ya kubadilishwa imekiukwa
Yanga HAKUNA walio kwenye swaumu? Au wanakula bila kujali mwezi mtukufu?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Akiwa bungeni leo, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa, amewataka TFF kwa kushirikiana na Wizara ya Habari na Michezo kusema lini Simba na Yanga zitacheza.

Pia amewataka Watanzania kuwa wavumilivu kwa usumbufu uliojitokeza siku ya Jumamosi, hasa wale waliolipa viingilio siku ya mchezo ijulikane hatma yao.
Watacheza pale Yanga ikikubali Kipigo.
 
Vilabu vinasikitishwa, TFF waliotoa taarifa pia wanasikitishwa, Wizara inasikitishwa, PM anasikitishwa. Hii ni Tanzania :eek: wanaficha kitu hawataki kusema ni nani hasa aliyetoa agizo la mechi kusogezwa mbele
 
Tumemuelewa PM , hakuna shaka tutakuwa wavumilivu. tunasubiri wizara ya habari itutangazie utaratibu mpya.
ahsante
 
Wasitufanye kuwa Watanzania wote ni mambumbumbu.Tatizo hapa siyo ratiba ya mechi kurudiwa wala siyo mambo ya viingilio vilivyokwisha kuchukuliwa.Tatizo hapa ni serikali kukiuka kanuni za FIFA kwa kuingilia mambo ya michezo kitu ambacho kitatugharimu kama Taifa.Hivi kama Taifa tumetenda dambi gani hadi tunakuwa tunapata viongozi wapumbavu mfulilizo namna hii?!
 
Back
Top Bottom