Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,489
- 13,608
Bashungwa anaweza kupigwa chini, anatanguliza uyanga wake mpaka anashindwa kupima madhara ya maamuzi yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao viongozi wanatoka miongoni mwetu sasa tujichunguze raia wenyewe tukoje?Wasitufanye kuwa Watanzania wote ni mambumbumbu.Tatizo hapa siyo ratiba ya mechi kurudiwa wala siyo mambo ya viingilio vilivyokwisha kuchukuliwa.Tatizo hapa ni serikali kukiuka kanuni za FIFA kwa kuingilia mambo ya michezo kitu ambacho kitatugharimu kama Taifa.Hivi kama Taifa tumetenda dambi gani hadi tunakuwa tunapata viongozi wapumbavu mfulilizo namna hii?!
Kama maneno haya kaongea waziri mkuu kama ulivyoandika basi inasikitiosha sana kiongozi mkuu kuongea namna hii. nilitegemea angesema watoe taarifa nani alisababisha hili jambo na wawajibishwe haraka sio wapange game kwani hiyo kazi ya wizara kupanga game za league. sitaki kuamini kasema haya mpaka nione video vingenevyo waziri mkuu kajishusha sana kwa hili labda yeye alihusika katika hili anataka funika kombe mwana haramu apite.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kutoa taarifa haraka sana kwa Watanzania juu ya tarehe ya kuchezwa kwa mchezo huo na pia ieleze utaratibu kuhusu hatima ya waliolipa viingilio ili kushuhudia mchezo huo.
Pia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasihi Watanzania kuwa wavumulivu ili kuipa muda Wizara kwa kushirikiana na taasisi zinazosimamia mpira wa miguu ikiwemo TFF kuja na taarifa juu ya hatima ya mchezo huo.
Hakika kabisaTaarifa ije na tamko la Waziri mwenye dhamana kujiuzuru. Hii lazima ing'oke na mtu. Tumechezwa sana Watanzania, si nasema ukweli ndugu zangu?
Tuwachunguze viongozi wa TFF kama ni watanzania. Twaweza kuta kumbe siyo watanzania ila wanatoka katika nchi ambayo vurugu ni sehemu ya maisha yao.
Rafiki wee si unapenda chura, mbona aliyepo juu sahivu ana chura, au humuonagi?Wasitufanye kuwa Watanzania wote ni mambumbumbu.Tatizo hapa siyo ratiba ya mechi kurudiwa wala siyo mambo ya viingilio vilivyokwisha kuchukuliwa.Tatizo hapa ni serikali kukiuka kanuni za FIFA kwa kuingilia mambo ya michezo kitu ambacho kitatugharimu kama Taifa.Hivi kama Taifa tumetenda dambi gani hadi tunakuwa tunapata viongozi wapumbavu mfulilizo namna hii?!
Sio kweli, kufuturu ni saa 12.30 , mechi saa moja, mtu anapta muda upi wa kufuturu afu saa moja awe uwanjaniSimba ndio waliosababisha.Wachezaji wao wengi wamefunga Ramadhani wakawaambia TFF kuwa watakuwa hawana nguvu sababu ya swaaumu hhivyo wakaomba mchezo uchezwe saa moja usiku baada ya wao kufuturu saa 12 jioni.
Ndipo sisi yanga tukagoma sababu kanuni ya kubadilishwa imekiukwa.
Vyovyote iwavyo wametoa bokoWaziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kutoa taarifa haraka sana kwa Watanzania juu ya tarehe ya kuchezwa kwa mchezo huo na pia ieleze utaratibu kuhusu hatima ya waliolipa viingilio ili kushuhudia mchezo huo.
Pia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasihi Watanzania kuwa wavumulivu ili kuipa muda Wizara kwa kushirikiana na taasisi zinazosimamia mpira wa miguu ikiwemo TFF kuja na taarifa juu ya hatima ya mchezo huo.
Aliepo juu nani huyo?Jumong?😄😄😄Rafiki wee si unapenda chura, mbona aliyepo juu sahivu ana chura, au humuonagi?
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Unaonyesha wewe.ni mmoja wa wale waliotolewa mfano na EymaelSimba ndio waliosababisha.Wachezaji wao wengi wamefunga Ramadhani wakawaambia TFF kuwa watakuwa hawana nguvu sababu ya swaaumu hhivyo wakaomba mchezo uchezwe saa moja usiku baada ya wao kufuturu saa 12 jioni.
Ndipo sisi yanga tukagoma sababu kanuni ya kubadilishwa imekiukwa.
Anajua ni ya hovyo hawezi kuihoji.Kwanini asiulize sababu ya kuahirisha mechi?
Jamaa alikuwa anaaminika sana mwanzo ila kwa sasa haaminiki kabisa na chochote anachosema ni cha kupuuzaMr FIX kaibukia tena huku. SMH
Sawia mkuu, tutafute pale tulipojikwaa na si pale tulipoangukia. Nimependa kutogusia gharama za usafiri kufidiwa maana itatuhusu hata sie tuliopanda daladala kwa sh 400/= kurejeshewa.Tunataka sababu ya kuahirishwa mechi, mbona anakwepa hapo?