Ghwakukajha
JF-Expert Member
- Apr 27, 2008
- 245
- 103
Miaka ile wakati napitiapitia mambo ya sheria nshawahi kusoma kuwa in law they have used a masculine gender just for the purpose of ease in writting.The principles apply to both genders.In short as far as law is concerced then 'he' includes 'she' in it!!(Samahani nje ya mada🙂 Sheria hii ni sheria dume kama mhusika ni wa kike?
invisible/ wana jf
naomba mtume tena ile attachment yenye barua ya masha kwenda kwa waziri mkuu pinda. Niliifungua juzi nikaisoma nusu sasa nataka kuimalizia kuisoma tafadhali
asanteni kwa ushirikiano wenu
Invisible/ Wana JF
Naomba mtume tena ile attachment yenye Barua ya Masha kwenda kwa Waziri Mkuu Pinda. Niliifungua juzi nikaisoma Nusu sasa nataka kuimalizia kuisoma Tafadhali
Asanteni kwa Ushirikiano wenu
Thread hijack??Mmh,hawa waandishi&wahariri nao...Hivi kweli kuna kitu kama 'vitambulisho vya URAIA'??
Ths 222 billion -Tshs 95 billion=Tshs 127 billion for...
The margin couldn't be justified unless Ndg. Chibogoyo shade light about his institution proposal. Lazima tujue proposal yake ilikuwa inatoa solution ipi, I mean, final output yake inafanana na hizi zinazogharimu Tshs. 222 bil.?...hebu mtu alete JUSTIFICATION kutoka bilioni 95 mpaka bilioni 222. Kuna WIZI wa mchana hapa...
Tuwe waangalifu. Cheaper is not always better. Kuna sehem taifa limeingia gharama mara mbilimbili kwa kukimbilia cheapest bidder. Kuchapa siri za serikali na kutengeneza microchip embeded National IDs ni vitu tofauti. Tuna mifano ya barabara mkoani singina serikali ilibidi ilipe mara mbili, kunamifano ya AFIS system ya polisi ambayo the cheaper guy ameishia kutengeneza kitu kisichokua na function ya kueleweka na mabilioni amekula.
Labda tungeanza kwa kujiuliza kama tunahitaji kweli hizo Smart Card IDs au hata simple
magnetic strip Card zitafaa, au hata pengine hatuhitaji hizo Card kabisaa kwa sasa. Mpiga chapa nae asije akatuingiza mkenge kwa business asiyoijua vizuri.
Sometimes its good to be serious, waheshimiwa wetu included!
There is a whole lot that goes into a national id than the price mentioned here! Huyo mpiga picha wa serikalki angeonganisheje vizazi na vifo, upigaji kura, kununua sim cards, kufanya background checks, etc, etc?
Give me a break! I'm sorry to say but waheshimiwa hao na mpigapicha wa serikali have no clue to what they are insinuating, period!