Waziri Makamba: Siku mbili zijazo nitatoa Suluhisho la kudumu la Umeme nchini na tatizo tunalolipitia sasa halitajirudia tena!

Masaa arobaini na nane machache sana kupledge kiwango hiki cha kuhakikisha Umeme haukatiki.

Akapate, simbi, juche, desa kwa ndugu Simbachawene na ahadi za umeme.
 
Waziri wa nishati January Makamba amesema kama wizara wamejipanga na katika siku mbili zijazo atatoa Suluhisho la kudumu la matatizo ya umeme nchini

Makamba amesema wamejipanga vya kutosha na suluhisho walilonalo ni la kudumu na kwamba baada ya kufanya study ya kutosha wanaamini tatizo la umeme halitajirudia tena na litabaki kuwa historia.

Makamba amewaomba radhi wateja wa Tanesco kwa usumbufu walioupata.

Source: ITV habari
😃😃😃😃😃
 
Siasa zimefika mahala pake. Suluhisho lake tuangalie mara mbili mbili ni kwa interest za nani. Kuna mambo mtu akifanya, ni ngumu sana kuendelea kumpa imani. Huyu mzee naona kama anatuvuruga kabisa bila sababu za msingi
 
Amepanic huyu.

Inawezekana vipi mgao tulioaminishwa upo kwasababu ya ukame upatiwe ufumbuzi wa kudumu ndani ya muda mfupi ambao hata mvua bado hazijaanza kunyesha na vyanzo vingine vya umeme kama upepo, solar, na gas bado havijaanza kufanya kazi?

Au ndio doria ya leo imeanza kufanya kazi kama ilivyokuwa kwa waziri wa maji kwa kufungua mabomba ya dawasco?!

Hii migao kama sio ya kutengenezwa sijui ni kitu gani kingine.
Dar mgao umeisha.maji yanapatikana kisa sehemu sio?
 
Makamba amesema wamejipanga vya kutosha na suluhisho walilonalo ni la kudumu na kwamba baada ya kufanya study ya kutosha wanaamini tatizo la umeme halitajirudia tena na litabaki kuwa historia
Ujinga mwingi upo kwenye kelele, the guy should remain silence!!
 
Amepanic huyu.

Inawezekana vipi mgao tulioaminishwa upo kwasababu ya ukame upatiwe ufumbuzi wa kudumu ndani ya muda mfupi ambao hata mvua bado hazijaanza kunyesha na vyanzo vingine vya umeme kama upepo, solar, na gas bado havijaanza kufanya kazi?

Au ndio doria ya leo imeanza kufanya kazi kama ilivyokuwa kwa waziri wa maji kwa kufungua mabomba ya dawasco?!

Hii migao kama sio ya kutengenezwa sijui ni kitu gani kingine.
Ngoja tuone hayo makaratee yake aliyojipanga nayo.

Siku 2 sio nyingi tunaye huyu.
 
Baada ya siku mbili kwisha atakuja na ahadi ya kuutatua huu mgawo wa umeme ndani ya masaa mawili.

Haka kajamaa ni kabingwa ka mazingaombwe ya kisiasa, kanaweza kugeuza nyeupe kuwa nyeusi, kama kaliweza kumuingiza jiwe ikulu kwa zile tiktaka za goli la mkono kanaweza kukausha mabwawa ya umeme kwa maneno na kuyajaza mabwawa kwa maneno pia.
Out kabisa
 
Waziri wa nishati January Makamba amesema kama wizara wamejipanga na katika siku mbili zijazo atatoa Suluhisho la kudumu la matatizo ya umeme nchini

Makamba amesema wamejipanga vya kutosha na suluhisho walilonalo ni la kudumu na kwamba baada ya kufanya study ya kutosha wanaamini tatizo la umeme halitajirudia tena na litabaki kuwa historia.

Makamba amewaomba radhi wateja wa Tanesco kwa usumbufu walioupata.

Source: ITV habari
Huyu ni tumbili tu namchukia sana huyu mende. Nchi hii ya kipimbi sana mhaini aliemfitini Rais wa nchi anapewa uwaziri na sifa za kuwania ubunge!!? Akalamba udongo sasa hivi anatukana. Kawaletea kunguni sasa anakuja na spray dawa ya kunguni
 
Amepanic huyu.

Inawezekana vipi mgao tulioaminishwa upo kwasababu ya ukame upatiwe ufumbuzi wa kudumu ndani ya muda mfupi ambao hata mvua bado hazijaanza kunyesha na vyanzo vingine vya umeme kama upepo, solar, na gas bado havijaanza kufanya kazi?

Au ndio doria ya leo imeanza kufanya kazi kama ilivyokuwa kwa waziri wa maji kwa kufungua mabomba ya dawasco?!

Hii migao kama sio ya kutengenezwa sijui ni kitu gani kingine.
Nchi ngumu hii acheni. Dah, doria ya muda mfupi, suluhisho la kudumu.
 
Waziri wa nishati January Makamba amesema kama wizara wamejipanga na katika siku mbili zijazo atatoa Suluhisho la kudumu la matatizo ya umeme nchini

Makamba amesema wamejipanga vya kutosha na suluhisho walilonalo ni la kudumu na kwamba baada ya kufanya study ya kutosha wanaamini tatizo la umeme halitajirudia tena na litabaki kuwa historia.

Makamba amewaomba radhi wateja wa Tanesco kwa usumbufu walioupata.

Source: ITV habari

Huyu jamaa ana dharau kinyama…suluhisho la kudumu?! Who does he think he is…huo mradi uliokuwa mkubwa mbele yetu haujaisha anataka kuja na suluhisho gani tofauti na hilo ambalo halijamalizika…au ndio kuwapa mapande mabeberu wamlinde…

Sources za energy zinajulikana duniani, kupanga nikuchagua asilete maneno mengi akifikiri anajua saaanaaa kuliko watangulizi wake…

Huyu anatuyumbisha tuu hana lolote…Magufuli aliwezaje miaka mitano yote umeme haukukatika na samaki kwenye mabwawa hawakufa…wataalamu washatuambia maji yapo

Asitupotezee mudaa…amalize kwanza bwawa la Nyerere umeme uwake halafu maneno mengine baadae…hizo drama zake aziache kwanza kazi iendelee bwawa la Nyerere…
 
Back
Top Bottom