Waziri Makamba: Siku mbili zijazo nitatoa Suluhisho la kudumu la Umeme nchini na tatizo tunalolipitia sasa halitajirudia tena!

Waziri wa nishati January Makamba amesema kama wizara wamejipanga na katika siku mbili zijazo atatoa Suluhisho la kudumu la matatizo ya umeme nchini

Makamba amesema wamejipanga vya kutosha na suluhisho walilonalo ni la kudumu na kwamba baada ya kufanya study ya kutosha wanaamini tatizo la umeme halitajirudia tena na litabaki kuwa historia.

Makamba amewaomba radhi wateja wa Tanesco kwa usumbufu walioupata.

Source: ITV habari
Tatizo kubwa (weakness kubwa) waliyonayo viongozi wengi mara wapatapo madaraka, ni kujiona kuwa wanaufahamu wa mambo kuliko Watanzania wengine. Hili ni tatizo sana kama Nchi na matokeo yake ndio kama haya tunayo yaona sasa ya changamoto za Umeme na Maji.

Tukipewa dhamana hizi za uongozi, kazi yetu inatakiwa kufanya tu coordination ya mipango mikakati ya sector husika, kwa kuwatumia wataalamu wetu, na kupata maoni ya Watanzania wengine ili kuwa na mtandao mpana (Inclusive) wa mawazo. Lakini hapa kwetu mtu akipata dhamana hiyo....basi tunajiona ndio watoa suluhisho....hizo ni nafasi za Kisiasa tu..wataalamu wenyewe wapo tuwatumie. Bila kufanya hivyo, tutaendelea kuwa Mazuzu tu....
 
Enzi za marehemu umeme ukikata wakurugenzi pale tanesco wanaenda kununua dizeli kuwasha majenereta walau ionekane kuna umeme kumbe tatizo ni kubwa.
 
Ili ni tatizo lingine TANESCO ya awamu ya tano pamoja mapungufu yake kwa miaka minne mfululizo walikuwa wanapunguza kiwango cha hasara walizokuwa wakipata na kurudi kwenye faida kwa mara ya kwanza kwenye trading period ya 2020/2021.

Makamba kuingia tu amejikita kwenye miradi ambayo inaenda kuingozea shirika financial burden bila ya ulazima na anaangaliwa tu (na madeni ambayo wataishia kulipwa na kodi za wananchi) badala ya mapato ya TANESCO.

The man is not financial shrewd and clueless on energy sector; ndio ukweli wenyewe hiyo wizara sio size yake. Kibaya zaidi badala ya kutumia wataalamu wa serikali waliobobea anaenda kuokota ujinga twitter from people who know nothing.
What is the use of that software bought at 30mil USD? Wajuzi wa mambo mtanijulisha maana mimi ni kilaza sana wa IT
 
What is the use of that software bought at 30mil USD? Wajuzi wa mambo mtanijulisha maana mimi ni kilaza sana wa IT
It’s just an internal system of sharing information kama vile ilivyo SAGE kwenye accounting, mifumo ya medical system ambayo inatumiwa interproffesional working kila mtu awe kwenye page moja, ardhi, uamiaji and other systems zinazotumiwa for admin purposes for sharing information purposes and improving efficient or continuation of work.

Quality ya mafanikio ya hiyo mifumo ni watu wanaotumia if someone doesn’t record information no one gets it sio mwarobaini kabisa especially when there is no physical evidence to audit the quality of performance.

Ni hivi mie sijui watu inakuwaje wanapanda mpaka kufikia kuwa CEO Tanzania, ila yule mkurugenzi wa TANESCO ukimsikiliza unaona hatoshi he lacks awareness on HR strategies to improve services to begin with; let alone understanding priorities za shirika kwa wateja kipindi hiki.

Ni hivi January na Mwambe wote wamepewa specific tasks na raisi; approach zao zimeonyesha difference in leadership qualities za kufikia azma ya raisi.

Mwambe katumia muda mwingi kujifunza kutoka kwa walioanza kazi, kaelewa technical issues za kazi aliyopewa na kujua hao watu wanafanya kazi vipi kabla ya kuamua anaenda vipi mbele kwa ku analyse speech yake.

January na genge lake wameingia na ujuaji likely to piss off some technocrats ndani ya mashirika yaliyo chini ya wizara na ndani ya wizara. Naona wakasema ngoja tuwaone na ujuaji ndio kinachowakuta sasa wanaenda tu kama headless chicken.
 
Waziri wa nishati January Makamba amesema kama wizara wamejipanga na katika siku mbili zijazo atatoa Suluhisho la kudumu la matatizo ya umeme nchini

Makamba amesema wamejipanga vya kutosha na suluhisho walilonalo ni la kudumu na kwamba baada ya kufanya study ya kutosha wanaamini tatizo la umeme halitajirudia tena na litabaki kuwa historia.

Makamba amewaomba radhi wateja wa Tanesco kwa usumbufu walioupata.

Source: ITV habari
Ngoja tuone hayo maagizo ila huyo anaenda kutengeneza kashfa mpya kwenye Nishati subirini miaka michache ijayo
 
Waziri wa nishati January Makamba amesema kama wizara wamejipanga na katika siku mbili zijazo atatoa Suluhisho la kudumu la matatizo ya umeme nchini

Makamba amesema wamejipanga vya kutosha na suluhisho walilonalo ni la kudumu na kwamba baada ya kufanya study ya kutosha wanaamini tatizo la umeme halitajirudia tena na litabaki kuwa historia.

Makamba amewaomba radhi wateja wa Tanesco kwa usumbufu walioupata.

Source: ITV habari
Maneno hayo hayo aliwahi kusema Mzee Ruksa enzi zake akiwa madarakani. Nini kimebadilika wakati ccm ni ile ile?
 
Amepanic huyu.

Inawezekana vipi mgao tulioaminishwa upo kwasababu ya ukame upatiwe ufumbuzi wa kudumu ndani ya muda mfupi ambao hata mvua bado hazijaanza kunyesha, na vyanzo vingine vya umeme kama upepo, solar, na gas bado havijaanza kufanya kazi?

Au ndio doria ya leo imeanza kufanya kazi kama ilivyokuwa kwa waziri wa maji kwa kufungua mabomba ya dawasco?!

Hii migao kama sio ya kutengenezwa sijui ni kitu gani kingine.
Wanataka kusign mikataba mwambie hiyo kauli yeye sio wa kwanza,tumezoea
 
Waziri wa nishati January Makamba amesema kama wizara wamejipanga na katika siku mbili zijazo atatoa Suluhisho la kudumu la matatizo ya umeme nchini

Makamba amesema wamejipanga vya kutosha na suluhisho walilonalo ni la kudumu na kwamba baada ya kufanya study ya kutosha wanaamini tatizo la umeme halitajirudia tena na litabaki kuwa historia.

Makamba amewaomba radhi wateja wa Tanesco kwa usumbufu walioupata.

Source: ITV habari
Tunataka matokeo siyo story za majukwaani, anataka kutuletea ujinga wa Big Results Now

Wanafunzi walifeli mitihani, Ndalichako akakataa ku-restandardize akang'olewa waliyemuweka akarestandardize wakajitokeza kushangilia ati BRN!!

Huyu ameruka na chopa jana leo anakuja na ujinga wake!
 
Kwa taarifa yako wapo wengi sana wanamuelewa makamba......toka nje ya jf halafu fanya uchunguzi uje ulete majibu hapa. Makamba anachukiwa zaidi jf ambako kuna watu wasiozidi elfu kumi
Kuna mahali nilisoma 5 years ago Jf ilikuwa na members 500k hao 10k wewe umewatoa wapi ?
 
Waziri wa nishati January Makamba amesema kama wizara wamejipanga na katika siku mbili zijazo atatoa Suluhisho la kudumu la matatizo ya umeme nchini

Makamba amesema wamejipanga vya kutosha na suluhisho walilonalo ni la kudumu na kwamba baada ya kufanya study ya kutosha wanaamini tatizo la umeme halitajirudia tena na litabaki kuwa historia.

Makamba amewaomba radhi wateja wa Tanesco kwa usumbufu walioupata.

Source: ITV habari
Kwahiyo zile swaga za ukame zimeishia wapi??. Watu wasinge piga kelele, leo unge kuta kelele za jenereta kila mahali..
Ccm ni sawa na uviko 19
 
Amepanic huyu.

Inawezekana vipi mgao tulioaminishwa upo kwasababu ya ukame upatiwe ufumbuzi wa kudumu ndani ya muda mfupi ambao hata mvua bado hazijaanza kunyesha, na vyanzo vingine vya umeme kama upepo, solar, na gas bado havijaanza kufanya kazi?

Au ndio doria ya leo imeanza kufanya kazi kama ilivyokuwa kwa waziri wa maji kwa kufungua mabomba ya dawasco?!

Hii migao kama sio ya kutengenezwa sijui ni kitu gani kingine.
kila kitu kilitangazwa kimkakati. Nia ilikuwa ni kuhalalisha hilo suluhisho la kudumu litakalotangazwa.
Hakuna mgao kiuhalisia bali ilibidi uonekane upo ili huo mpango ukitangazwa mumpigie makofi.
System ni ile ile tengeneza tatizo halafu toa suluhisho uonekane shujaa.
Watu washakunja mitonyo yao.
 
Back
Top Bottom