Waziri Magufuli apata PhD

Waziri Magufuli apata PhD

Dah! Hahahahaaa. Watu wachokozi balaa. Kama elimu siyo bangi huoneshwa hadharani, kwa nini mtu anune akiambiwa atuoneshe? Aaaaaa, popo atanyea mbingu si muda mrefu!
 
Mmeibua tena ohoo mtapotea wengi haya

Ila wabongo ni shidaa
 
There's nothing more amusing on earth than social media. ...Hiding behind a keyboard, any social media patron, including some of us who are secondary school dropouts, can challenge even professors to re-defend their doctoral theses before us!!! Burudani tupu; that's the beauty of social media!!!
 
Magufuli amekuwa anafanya phD pale Mlimani kwa muda mrefu....it must have been from around 2006/2007 academic year.Kuna wakati fulani nilikuwa nafuatilia transcripts zangu pale Mlimani na kukutana nae akifanya utaratibu wa ada pale chuoni....nilishangaa maana katika hali ya kawaida unategemea angefanyiwa hayo malipo na mtu kwa niaba yake.

Rafiki yangu mmoja alikuwa ananiambia akiwa waziri wa miundo mbinu alikuwa anafika sana pale chuo na nadhani alikuwa na marafiki wengi pale chemistry department maana alikuwa anakaa pale nje ya department na kuongea na wazee wa pale chemistry kwa muda mrefu sana.
Kumbe powa sana
 
magufuli ni mmoja wa mifano ya watanzania wachache waliotokea chini na kufika viwango vya juu kabisa vya elimu,namkumbuka mwingine ni dk mshindo msolla wa sua,aliaza kama mwalimu wa shule ya msingi akajiendeleza hadi hapo alipofika
Kumbe....naona sasa anaendelea kusukuma gurudumu la jagwani
 
Usemacho ni sawa sisi wana taaluma( elites) tuna share our knowledge na huwa hatufichi namna tulivyopata elimu zetu kwani ndio mavuno yetu ktk kusoma kwetu.
Elimu sio bangi kwamba itafanyika kimafichoni
Ben Saanane alipotezwa na Magufuli kwa kuhoji PhD yake. Alikaribia kuweka hadharani udanganyifu alioufanya kuipata PhD ile. Magufuli alimuwahi!
 
Duu we jamaa wa wapi wewe? kwa taarifa yako ni kwawaida sana kuwa na Phd kwa viongozi, na kwa mtu kama magufuli sio ajabu...hosea alipata Phd kabla ajaingia TAKUKURU
acha pupa kijana unatia aibu

lahhhh..mwili umenisisimka nilivyosoma comment yako, sijawahi kuona comment dhaifu kama hii..ngoja nizime na computer nilale kabisa
lahhhhhh
Mmh yaani unazima computer kwa ajili ya reply ya MTU?
 
Back
Top Bottom