GE2025 Waziri Kombo: Dar es Salaam ni shwari, kuna amani

GE2025 Waziri Kombo: Dar es Salaam ni shwari, kuna amani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
19,295
Reaction score
39,977
Mheshimiwa Kombo kathibitisha Dar es Salaam ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida kabla ya saa 12 jioni. Kuhusu internet ni kuwa itarudishwa kesho. Alihojiwa na BBC. Hakika mama anaupiga mwingi.
 

Attachments

  • VID-20251031-WA0004.mp4
    3.7 MB
Back
Top Bottom