Jumaa Aweso: Changamoto ya maji Dar ni kipindi cha mpito

Jumaa Aweso: Changamoto ya maji Dar ni kipindi cha mpito

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
430
Reaction score
585
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amewatoa hofu wananchi wa Dar es Salaam kuhusu upatikanaji wa huduma ya maji, akisema kuwa jitihada mbalimbali zinaendelea ili kuhakikisha huduma hiyo inaimarika.

Aidha, Aweso ameielekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuanza mara moja utekelezaji wa awamu ya pili ya mradi huo ili wananchi wa maeneo ya Kigamboni, hususani Kata ya Kisarawe II, ambao bado hawajafikiwa na huduma, waweze kupata maji.

Amesisitiza pia kuwa maji yatakayozalishwa yafikishwe katika maeneo mengine ya Mkoa wa Dar es Salaam.

Aweso kijana uliyewekwa hapo na JK 😂,
Tambua ugomvi wenu wa kisiasa una watesa wananchi wasio na hatia
 
Hiyo sio changamoto ni fursa
Kama huamini wewe kachimbe kisima Cha maji uanze kuuza maji na kuchukua tends za kupeleka maji Kwa gari kubwa na Kwa bei nafuu mfano mashuleni,hospitali,hotel, loji utapiga hela
 
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amewatoa hofu wananchi wa Dar es Salaam kuhusu upatikanaji wa huduma ya maji, akisema kuwa jitihada mbalimbali zinaendelea ili kuhakikisha huduma hiyo inaimarika.

Aidha, Aweso ameielekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuanza mara moja utekelezaji wa awamu ya pili ya mradi huo ili wananchi wa maeneo ya Kigamboni, hususani Kata ya Kisarawe II, ambao bado hawajafikiwa na huduma, waweze kupata maji.

Amesisitiza pia kuwa maji yatakayozalishwa yafikishwe katika maeneo mengine ya Mkoa wa Dar es Salaam.

Huyu ni waziri wa hovyo. Linaongea limepanua domo kama jehu.
Njoo na solutions za kisayansi siyo unatupigia lamli hapa.
 
Achaneni na surface water, ndege na wanyama ndiyo watumie binadamu tunapaswa kutumia groundwater.
Asante...
aquifer
Key Aquifer Types & Locations

  • Kimbiji Aquifer: A huge, deep (0-3,000m) freshwater system near Dar es Salaam, extending under the Indian Ocean, holding vast water volumes.
  • Basement Aquifers: Formed in Precambrian rocks, found in areas like the Pangani and Makutopora basins, covering much of the country.
  • Coastal Sedimentary Aquifers: In limestone and sandstone, such as near Dar es Salaam.
  • Karroo Systems: Found in regions like Tanga.
  • Alluvial Aquifers: In river valleys, often with sand, gravel, clay, and volcanic materials.
 
Leo kwenye taarifa ya habari nimemsikia ametoa agizo kwa NUWA(Shirika la maji nchini kwa watoto wa elfu 2 NUWA ni National Urban Water Authority ndiyo ika ikavunjwa na kuwa na kila mkoa na idara yake eg Dar -DAWASCO /DAWASA ,Iringa IRUWASA ,Musoma MUWASA).

Agizo ni kwamba RUVU imeshakuwa kwenye normal level hivyo wawashe mitambo yote na kusitisha Mgao...Tunatarajia mgao kuisha ,sasa tunatoa siku 2 za kujipanga ,kukiendelea MGAO msije mkasema siyo wazalendo maana viongozi buana wa serikali wanapendwa Kupushiwa sana ndiyo wafanye kazi.
 
Back
Top Bottom