Prof Muhongo ndie muongo au Kalemani ndie muongo?Muongo
Madini ya uranium ya nyuklia hayachimbwi ardhini? au yenyewe hugemwa hewani?Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?
Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Madini ya uranium ya nyuklia hayachimbwi ardhini? au yenyewe hugemwa hewani?
Muhongo ni msomi lakini hana maarifa.Prof Muhongo yupo Bungeni maana siku kadhaa nyuma nilimsikia kwamba umeme wa gesi ndio wa gharama nafuu na wa uhakika ukilinganisha na huu wa kizamani wa maji...
Sidhani kama uko sahihi kwenye hili, uranium kama ilivyo haiwezi kukusaidia kuzalisha umeme, itabidi hiyo uranium isafirishe kupelekwa kwenye nchi zinazo chengenua na kutengeneza FUEL RODS, halafu wakuletee utumie kuzalisha umeme. Na dunia kwa jinsi huo mpango wa fuel road uko sensitive, ni nchi chache sana wanaruhusiwa kufanya hivyo. Hapo hapo hujaweka gharama za kujenga mtambo wa umeme wa nuclear pamoja na gharama za maafa kama iliyotokea India, Russia na JapanSo kumbe nyuklia ndo cheaper kuliko hata gas na tuna uranium Tele songea
Kuna mtu hashawahi kusema nchi hii haijawahi kuwa na Prof muongo kama Prof MuhongoMuhongo ni msomi lakini hana maarifa.
Sawa basishida tulio nayo ni wataalamu kujenga hoja za maana kwa wanasiasa ili waweze kutekeleza miradi yenye tija kwa taifa.
kibaya zaidi tumekubali siasa inalipa zaidi kuliko taaluma!
Profesa ni muongo. Katia aibu sana. Kama ingewezekana kata huo uprofesa wangemvua tu!Prof Muhongo yupo Bungeni maana siku kadhaa nyuma nilimsikia kwamba umeme wa gesi ndio wa gharama nafuu na wa uhakika ukilinganisha na huu wa kizamani wa maji...