Waziri Kalemani: Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15, 2021. Umeme wa maji ni nafuu kuliko wa vyanzo vingine

Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?

Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
yaani natamani hata kesho mama samia aanzishe urutunishaji ila sasa je yupo tayari kutunishiana misuli na wamarekani israel na wengineo?

Ujerumani wenyewe kunakipindi walipata dhahama wakataka kufunga vinu vyao( hapa nikili kwamba sinauhakika kama ilikua ujerumani au uchina kipindi kile vinu vyao vimepata hitilafu)
 
Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?

Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Nani alikwambia wanafyeka miti yote hiyo wewe?? wanajenga tuta wanaanza kujaza maji yanafunika miti yote hiyo nenda youtube ukaangalie
 
Kwa nini tusitumie nyuklia , pale Songea ipo ya kutosha au mnaogopa yasije kutokea ya Japan mwaka 2011 , vinu kufumuka , hata hvyo hyo ilikuwa accidentally from tsunami wave shock
Risk ni kubwa sana kwenye nukes compared to h.e.p rejelea chernobly
 
So kumbe nyuklia ndo cheaper kuliko hata gas na tuna uranium Tele songea

Kwa nini tusitumie nyuklia , pale Songea ipo ya kutosha au mnaogopa yasije kutokea ya Japan mwaka 2011 , vinu kufumuka , hata hvyo hyo ilikuwa accidentally from tsunami wave shock

Wakuu, TZ hii hii ambayo bado tunapewa misaada ya ujenzi wa vyoo leo tuwe na nyuklia. Tuwe serious kidogo hapa.

Tuanze tunapoweza- maji. Africa nzima nchi yenye nuclear powerplant ni SA tu.
 
Nadhani shida ya wanasiasa, tatizo Lao huanzia pindi wanapokuwa na safari nyiiingi zisizo na msingi za kila mara upo ulaya, nadhani huwa wanakwenda kuuza Utu wao na kuacha usomi wao huko, hasa wanaojiita ma professor!!

Hao watu ni wa hovyo Sana!!

Moongo ni liongo Sana!!
 
Kuna shida ya uelewa hapa Prof yupo sahihi kabisa kwa short sighted people hawataliona analoliimaanisha Prof. It might look cheap what about investment cost, environmental cost, and break even point utaifikia lini kwa miradi ya mabwaya yanayohitaji big capital. Kwa watanzania wengi wataangalia figure iliyowekwa hapo. kweli waTZ wanahitaji waelimike. Hii inanikumbusha ukame uliotekea hadi Mtera, kihansi na kidatu wakazima baadhi generator zao. Envinmental factors ni hatari if we are not careful. Huku kwenye Bonde la Rufiji kunaendelea nini bila kusahau ufugaji ambao kwa sasa wapo ifakara, mahenge na bonde la Rufiji lenyewe. Kuna multiple things ziangaliwe kwa undani. Kwa hilo kuna kitu kinaitwa reliability ya umeme wa maji upo mashakani that is why mataifa yaliyoendelea wanatazama vyanzo mbadala sio wajinga.
 
So kumbe nyuklia ndo cheaper kuliko hata gas na tuna uranium Tele songea
Nyuklia Energy ni cheaper Sana kwa sababu inatumia fuel Ndogo kuzalisha Nishati na hiyo ndio sababu unaona zimepagwa hivyo.

1g ya Uranium au Plotonium inazalisha 1MW sawa na tani 1 moja ya makaa ya mawe, gallons 42 za Mafuta mazito na Futi za ujazo 17,000.

Kwa sasa duniani Tunatumia Reactors za Nuclear Fission kuzalisha Nishati, mwaka 2030 tunaweza kutumia Reactors za Nuclear Fussion, hii itakuwa cheapest cause inatumia Hydrogen na Itakuwa salama kwa sababu reactors zake hazipati Runway pia haina Radiation

Mataifa hayatumii Nuclear Energy kwa sababu ya Ujuzi na hofu ya Radiations if anything goes wrong, ila Nyuklia kama nchi inabidi tuifikirie
 
Sidhani kama uko sahihi kwenye hili, uranium kama ilivyo haiwezi kukusaidia kuzalisha umeme, itabidi hiyo uranium isafirishe kupelekwa kwenye nchi zinazo chengenua na kutengeneza FUEL RODS, halafu wakuletee utumie kuzalisha umeme. Na dunia kwa jinsi huo mpango wa fuel road uko sensitive, ni nchi chache sana wanaruhusiwa kufanya hivyo. Hapo hapo hujaweka gharama za kujenga mtambo wa umeme wa nuclear pamoja na gharama za maafa kama iliyotokea India, Russia na Japan
Sababu Nchi hazitumii Nyuklia ni Ujuzi na Hofu ya Radiation.

Sisi kama taifa tukiweka mpango wa miaka 20 hadi 30 tunaweza kuzalisha umeme wa Nyuklia kwa Pesa yetu na ujuzi
 
Back
Top Bottom