Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

Ndugu zanguni serikal ni sir kali. Kumbe Mh mathayo hakujuwa tayari kashatenguliwa masikin akasimama kwa mbwembwe nyingi na wabunge kumshangilia uku wazir mkuu akijuwa jamaa analialia tu ila maamuz yameshafanyika. Ndio siasa mtani waswahili husema ukipenda kushangiliwa pia ukubali kuzomewa

Mathayo si PhD wa ukweli alinunua hadi leo hujui hii siri ? Nchimbi, Nagu , Mathayo PhD zao wazijua ? Ubaya CCM kuna watu wanadhani wananchi wanapigia kura PhD .Haya arudi akafanye kazi na PhD yake tuone .
 
hana maana huyu gamba, ni zigo mpenda sifa. Eti nae alikuwa anataka urais wa nchi yetu, wakati kusimamia tu jeshi la polisi itende kazi alishindwa.

mwisho wa ubaya ni aibu. Na sijaona atachomokaje kwenye hili la kushikiwa kuhusila kumuua Dr Mvungi. Damu ya mtu haiendi bure hata siku moja
 
Jiulize, Ilikuwa ni meli ya nani ililibeba hilo kontena? Jiulize, yule mzungu wa jino aliyekamatwa tukaambiwa alikuwa na uhusiano na mwenye meli fulani ambaye ana nafasi kuubwa ndani ya lichama fulani, mambo yale yaliishia wapi?
Jamani, watu wameenda likizo kidogo wanangojea tembo wazaane kidogo. Mwakani ni uchaguzi unaanza. Labda hao mawaziri wataamua kujiunga pamoja wawataje hao vinara

Si useme tu MACCM
 
Safi sana waheshiwa zito,msigwa,mbunge wa bwihala kupitia ccm;
kwa kuwa tangu asubuhi siku ya leo mmekuwa mstari wa mbele juu ya kudadavua ripoti ya opereshen tokomeza maana msinge isimamia tayar mh. Ndugai alikwisha ipooza eti isijadiliwe
mm nasema mara kwa mara we need people like Magufuli jaman yule ndiye Pm
 
Wakati waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dr. Emmanuel Nchimbi alikuwa wa pili na wa Ulinzi akiwa wa kwanza kwa kuitwa na spika kuwa wa kwanza kuzungumza lakini ikaonekana wameingia mitini na kuitwa kwa waziri wa utalii na maliasili ndugu Balozi Hamisi Kaghasheki

Waziri wa Maliasiri na utalii atangaza kujiuzuru rasmi akiwa ndani ya Bunge.

Asema yeye ni mtu mzima na kasikia mengi, kateuliwa na rais kwa matakwa ya rais na hakuomba hivyo ana resign.

Mathayo yeye anadai ameshutumiwa mambo mengi kama sena na mgumo vyote vipo ila hakuhojiwa katika swala lolote , adai tatizo ni mfumo na swala la ardhi liko chini ya wizara ya ardhi na si wizara ya ardhi.

Na swala la mifugo na majosho ni swala la halmashauri na si wizara ya mifugo yeye anaonewa tu.

Asema hajawahi kupewa fedha za bajeti kama anavyoomba ajilinganisha na Yesu kuwa anasurubiwa lakini hana hatia.

Updates;

Waziri mkuu anaongea kwa kujumuhisha kwa mawaziri waliosalia na anaanza kwa kauli zake za kuzunguuuka na kuomba radhi kwa waliotendwa na operation tokomeza.

Anachojaribu kusema kama serikali wanatafakari na watafanyia kazi kama serikali kwani operationi ilikuwa chini ya wizara tatu.

Na anaendelea kutazama na kuangalia na anapendekeza iundwe tume ya kuthibitisha hayo kama alivyoshauri Mwanasheria mkuu wa serikali.

Updates:

Waziri mkuu atangaza kuwa rais ametengua uwaziri wa wizara tatu rasmi zikiwemo ya Ulinzi chini ya Nchimbi, ya ulinzi chini ya Nahodha, ya mifugo chini ya Mathayo na Kagasheki aliyojiuzuru ya maliasili na utalii[INAPENDEZA SANA,NA MOOTOOO WANAO]
 
Duu!! Mungu amelipa haki kwa maonevu aliyowafanyia watanzania. Nchimbi akafie mbali!!

F Senior Expert MemberArray
Join Date : 27th May 2012
Posts : 796
Rep Power : 537
Likes Received
241
Likes Given
240
clip_image002.gif
Re: Prediction: Zitto Kabwe to NCCR or CCM?

Aende na wakae wakijua ni msaliti wa watz wote
Zitto ameua demokrasia nchini
soma hapo chini
Ndiyo CCM yako inavyofanya

Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " Mwigulu Nchemba " <shimbi85@gmail.com> >
To: "Emmanuel Nchimbi" < nchimbie@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde.

MN

2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < nchimbie@yahoo.com >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

MN

Endeleeni ila mtaula wa chuya

Duh! kama kweli hizi email ziko hivi basi SNURA
 
Wameshindwa kuwa wazalendo na nchi yetu,wao wameweka maslahi yao mbele kuliko umma unaowategemea kuwa msaada wao mkubwa,na bado wengine wajiandae.
 
Back
Top Bottom