Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,015
2,000
CCM oyee,kina Lugola wangekua CHadema,alafu wanawakosoa mawaziri wao leo wangeitwa wasaliti,Adam Chagulani alimkosoa Meya wa CDM kwa ufisadi akafukuzwa
 

Zuberi Magoha

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
208
0
Nchi alikuwa anatumia wizara ki CCM zaidi na ki binafsi zaidi .Huu ndiyo mwisho wa Mnara wa Babeli unaanza kidogo kidogo like snow na Climate change .Nchimbi wacha tuone na naamini anaweza kupoteza jimbo .Polisi from now watakuwa waoga mno mno kufanya ujinga .
 

Alinda

Platinum Member
Jun 26, 2008
1,691
2,000
Mkuu ua very right, leo watu wamesahau kuwa ile ni biashara ya watu wakubwa sana tena ni vigogo wa chama na serikali, ile operesheni wameidistort kwa makusudi, na wabunge wa upinzani wameingia mkenge wa hali ya juu..

Any way Kagasheki alijaribu

Kama una huakikaa na unachokisema si utaje majina basi! Haya Mambo yamafumbo hayafai..
Halafu baada ya report kuonyesha huo unyama ulitegemea wabunge waact vipi?
Watu wamebakwa, wameingiziwa chupa sehemu za Siri, wamelala na wanyama huku askari wakiwashukua picha na kuwacheka na nk
 

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
8,327
2,000
Jamani mwenye hiyo report aweke hapa hata tujue kwa undani basi yaliyotokea kwenye hiyo operation tokomeza!!
 

chamlungu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
321
500
mara nyingi mnakuwa na jambo la kutaka kutujuza, lakini mnavyoandika mnakuwa hamueleweki. hivi ni haraka au kitu gani? ni vema ukatulia ukaandika kitu kinachoeleweka ili wadau wachangie vizuri kuliko tena kuanza kukuuliza maswali yakutaka ufafanuzi. binafsi sijakuelewa nini ulitaka kusema. habari kamili ni ile inayojibu maswali ya msomaji na si msomaji kuanza kujiuliza maswali
 

Lingasiku

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
215
0
Damu ya mtu huwa inatabia ya kujilipiza sasa imewalilia mungu mwema,zle damu waliona ni za kawaida sana,ila warudshe mashangingi yetu
 

Munabusule

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
976
250
kumbe ni mara ya pili kufukuzwa aliwahi kufukuzwa uru seminari kwa kufeli mtihani wa kuingia f3
 

commited

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,627
2,000
Huna hoja nyamaza


binti wewe ni nani hapa jf.. kama unahoja leta ya kwako utazungumziaje ubovu wa mawaziri bila kuangalia uwezo wa jk, jk ndiye kawateua hawa, huwezi zungumzia ubora wa mwanafunzi bira kuangalia ubora wa mwalimu....

watu tuko serious, kwakuwa ndugu zetu wamekufa,wamebakwa,, watu wamekuwa vilema ... hiyo operation kimbunga wakati inafanyika jk alikuwa hajui?? mbona hakuistopisha>> halafu wewe ni nani utishie mtu... peleka upuuzi wako kw watoto wenzako.. acha watu tujadili maslahi ya taifa
,

JK NI DAHAIFU:
 

watundawangu

JF-Expert Member
Mar 26, 2011
250
170
nchimbi kulee.....

Duu!! Mungu amelipa haki kwa maonevu aliyowafanyia watanzania. Nchimbi akafie mbali!!

F Senior Expert MemberArray
Join Date : 27th May 2012
Posts : 796
Rep Power : 537
Likes Received
241
Likes Given
240
clip_image002.gif
Re: Prediction: Zitto Kabwe to NCCR or CCM?

Aende na wakae wakijua ni msaliti wa watz wote
Zitto ameua demokrasia nchini
soma hapo chini
Ndiyo CCM yako inavyofanya

Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " Mwigulu Nchemba " <shimbi85@gmail.com> >
To: “Emmanuel Nchimbi” < nchimbie@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde.

MN

2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < nchimbie@yahoo.com >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

MN

Endeleeni ila mtaula wa chuya
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
11,236
2,000
Alikuwa haamini!walishaambiwa tangu kikao chao cha mchana!!umeona nahodha na nchimbi hawakuja jioni?
 

MASEKE TEE

Member
Mar 17, 2012
34
70
Wizara ya mambo ya Ndani chini ya nchimbi mauaji mengi ya kisiasa yalitokea akiwa WAZIRI. NCHI ZENYE UWAJIBIKAJI HUYU ALITAKIWA AENDE JELA NA KAZI NGUMU. HUYU KATIBU MKUU WA ZAMANI WA UVCCM KAMA SIJAKOSEA. ALIKUWA ANAFANYA KAZI ZA MAGAMBA KUTESA/KUUMIZA WOTE WALIOKUWA WANA MAWAZO TOFAUTI NA WATAWALA. HATA MAUAJI YA MWANGOSI YEYE NDIE ALIKUWA WAZIRI HUSIKA. SOWETO/MVUNGI. LAANA YA DAMU ZA WATZ ZILIMWAGIKA ZITAKUTAFUNA KOKOTE UENDAKO. KAMA ULIJUA AU KUSHIRIKI. ALICHELEWA SANA KUFUKUZWA.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom