Hawa watumishi wa TANESCO ni waovu , wana kiburi na hawamjali mtu yeyote wanadhulumu mchana kweupe bila ya hofu. We fikiria wamakataa kuitii na kuifanyia kazi hukumu ya mahakama kuu. Maanake wako juu ya sheriaHawa watumishi wa TANESCO wamekuwa mwiba mchungu kwa wananchi. Hebu angalia wanajeuzi ya kukataa kutii amri na hukumu ya mahakama wanaona watafanywa nini?
Mwendee inbox maana aliyeandika anajitambua sana soma between the lineunawatuhumu kwamba ni wezi. je unaweza kuthibitisha hilo
Watu hawa hawafai kuwa watumishi wa umma ni watu wanaoleta mateso kwa wananchi . wao wamejikita kuhakikisha kuwa kila fidia inayotolewa wamepata asilimia kadhaa la sivyo hakuna process ya fidia kufanyika.unawatuhumu kwamba ni wezi. je unaweza kuthibitisha hilo