Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

Gerad2008

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
583
287
Sisi wananchi wa Makuyuni mkoani Arusha tunaomba tukuletee kilio chetu cha kudhulumiwa fidia zetu na watumishi wa TANESCO mkoa na makao makuu. Majina yao yameorodheshwa chini

Mwaka 2017 tathmini kwa ajili ya upitisha umeme wa msongo wa kilovolt 400 ilifanyika eneo la Makuyuni Wilaya ya Monduli Arusha.

Baadhi ya maafisa wa TANESCO kwa kushirikiana na aliyekuwa DED wa Monduli ambaye sasa yuko Halmashauri ya Longido bwana Ulaya Pamoja na aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Monduli ambaye baadaye aliteuliwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Iddi Kimanta na baadhi ya viongozi wa ardhi walikula njama za kuwadhulumu wananchi kwa kusema eneo la wananchi ambalo linapitiwa na umeme ni la Halmashauri na hivyo sisi wenye maeneo hatustahili fidia bali Halmashauri. Baadhi ya wananchi walikuwa na maeneo yaliyopimwa na kuwekwa beacon kihalali.



Kuna wenzetu walifungua kesi mahakama kuu na wakshinda na kuthibitishwa kwamba wao ndio wamilki halali wa eneo husika. Baada ya kupeleke hukumu na barua ya kuomba malipo yao watumishi wa TANESCO wamekuwa wakipoteza faili lao na kuhakikisha halifiki makao makuu kwa ajili ya kulipwa fidia zao. Tangu Januari 2021 watumishi wa TANESCO wamekuwa wakitupiga danadana na wameonyesha wazi wana maslahi mapana kwenye fidia zetu.

Mheshimiwa Waziri tunayo maombi mawili:
  • Tusaidie kupata fidia zetu maana faili liko ofisi ya TANESCO mkoa wa Arusha na kwa ufupi limekaliwa licha ya mahakama kuu kutambua wazi uhalali wa wenye eneo .
  • Tunaomba tukupe majina ya watumishi wa TANESCO ambao wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wanatudhulumu na kuzuia sis kupata fidia zetu:
  • Meneja wa TANESCO mkoa wa Arusha na timu yake
  • Mr. Luvanda wa TANESCO makao makuu : simu yake ni 0713691145 na 0746215811
  • Ajuwaye ambaye ni Engineer na Surveyor wa mradi wa umeme wa 400Kv kutoka Singida Namanga;namba yake ni 0764314706
  • Violet ambaye yuko Makao makuu TANESCO kitengo cha tathmini na fidia ;namba yake ni 0767602590
Hiyo listi hapo juu imekuwa watesi wakubwa wa wananchi wanaohitaj fidia na wao wamehusika kuzuia na kuonyesha kila dalili kuwa hawako tayari kuwalipa wahusika fidia zao.

Mheshimiwa hii timu ni mhimili mkubwa wa uovu n ani mijizi ambao wamechangia kikubwa kwenye kujaribu au kudhulumu wananchi fidia zao halali wanazoidai TANESCO.
 
Swala la Makuyuni limeonyesha ni jinsi majority ya bviongozi walivyo wabadhilifu na jinsi ambavyo wako kwa ajili ya matumbo yao na si kuwasaidia wanchi
 
Hii inatisha kuona DED na mkuu wa wilay wakitengeneza timu ya kuwadhulumu wananchi kama siyo kuwapora. Hawa ni majambazi na wezi pamoja na hao waliotajwa hapo hawatakiwi kuwa kkwenye ofisi za umma
 
Kama kuna mambo ya namna hii yanatokea Tanzania basi inabidi uteuzi wa viongozi uangaliwe upya. hatuna viongozi wa wananchi hapa sijui tuna nini
 
Hawa watumishi wa TANESCO wamekuwa mwiba mchungu kwa wananchi. Hebu angalia wanajeuzi ya kukataa kutii amri na hukumu ya mahakama wanaona watafanywa nini?
 
Hawa watumishi wa TANESCO wamekuwa mwiba mchungu kwa wananchi. Hebu angalia wanajeuzi ya kukataa kutii amri na hukumu ya mahakama wanaona watafanywa nini?
Hawa watumishi wa TANESCO ni waovu , wana kiburi na hawamjali mtu yeyote wanadhulumu mchana kweupe bila ya hofu. We fikiria wamakataa kuitii na kuifanyia kazi hukumu ya mahakama kuu. Maanake wako juu ya sheria
 
Nafikiri kama tulivyomwomba waziri Mh. january makamba atusaidie na tumempa majina na namba za wahusika kuonyesha huu sio uvumi ni ukweli
 
Ushahidi uko kwa meneja TANESCO mkoa wa Arusha ingawaje anaweza aamua kupoteza tena file ili asibanwe
 
tunamwomba Waziri january makamba atusaidie kwenye hili ili tupate haki yetu
 
Kinachoandikwa inaonyesha ni kweli maana huwezi kuwa na bifu na watu wote hao
 
Ameutaja mtandao wa kudhulumu fidia na pia ametoa email ili kutoa ufafanuzi ni vema haya yasipuuzwe
 
unawatuhumu kwamba ni wezi. je unaweza kuthibitisha hilo
kama wewe ni mwenzao waambie hakuna siri tena. Ushahidi upo na role wanayoicheza kudhulumu ipo namtandao wao ndio huo unaouona hapa. ukitaka ushahidi ingia kwenye email yangu
 
unawatuhumu kwamba ni wezi. je unaweza kuthibitisha hilo
Watu hawa hawafai kuwa watumishi wa umma ni watu wanaoleta mateso kwa wananchi . wao wamejikita kuhakikisha kuwa kila fidia inayotolewa wamepata asilimia kadhaa la sivyo hakuna process ya fidia kufanyika.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom