Gerad2008
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 583
- 287
Sisi wananchi wa Makuyuni mkoani Arusha tunaomba tukuletee kilio chetu cha kudhulumiwa fidia zetu na watumishi wa TANESCO mkoa na makao makuu. Majina yao yameorodheshwa chini
Mwaka 2017 tathmini kwa ajili ya upitisha umeme wa msongo wa kilovolt 400 ilifanyika eneo la Makuyuni Wilaya ya Monduli Arusha.
Baadhi ya maafisa wa TANESCO kwa kushirikiana na aliyekuwa DED wa Monduli ambaye sasa yuko Halmashauri ya Longido bwana Ulaya Pamoja na aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Monduli ambaye baadaye aliteuliwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Iddi Kimanta na baadhi ya viongozi wa ardhi walikula njama za kuwadhulumu wananchi kwa kusema eneo la wananchi ambalo linapitiwa na umeme ni la Halmashauri na hivyo sisi wenye maeneo hatustahili fidia bali Halmashauri. Baadhi ya wananchi walikuwa na maeneo yaliyopimwa na kuwekwa beacon kihalali.
Kuna wenzetu walifungua kesi mahakama kuu na wakshinda na kuthibitishwa kwamba wao ndio wamilki halali wa eneo husika. Baada ya kupeleke hukumu na barua ya kuomba malipo yao watumishi wa TANESCO wamekuwa wakipoteza faili lao na kuhakikisha halifiki makao makuu kwa ajili ya kulipwa fidia zao. Tangu Januari 2021 watumishi wa TANESCO wamekuwa wakitupiga danadana na wameonyesha wazi wana maslahi mapana kwenye fidia zetu.
Mheshimiwa Waziri tunayo maombi mawili:
Mheshimiwa hii timu ni mhimili mkubwa wa uovu n ani mijizi ambao wamechangia kikubwa kwenye kujaribu au kudhulumu wananchi fidia zao halali wanazoidai TANESCO.

- Tusaidie kupata fidia zetu maana faili liko ofisi ya TANESCO mkoa wa Arusha na kwa ufupi limekaliwa licha ya mahakama kuu kutambua wazi uhalali wa wenye eneo .
- Tunaomba tukupe majina ya watumishi wa TANESCO ambao wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wanatudhulumu na kuzuia sis kupata fidia zetu:
- Meneja wa TANESCO mkoa wa Arusha na timu yake
- Mr. Luvanda wa TANESCO makao makuu : simu yake ni 0713691145 na 0746215811
- Ajuwaye ambaye ni Engineer na Surveyor wa mradi wa umeme wa 400Kv kutoka Singida Namanga;namba yake ni 0764314706
- Violet ambaye yuko Makao makuu TANESCO kitengo cha tathmini na fidia ;namba yake ni 0767602590