Waziri Jafo apata kigugumizi kuzungumzia bidhaa kuwekwa lebo kwa lugha za Kigeni huku watumiaji wakiwa hawajui lugha husika

Waziri Jafo apata kigugumizi kuzungumzia bidhaa kuwekwa lebo kwa lugha za Kigeni huku watumiaji wakiwa hawajui lugha husika

Now and then

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
617
Reaction score
1,722
Wakuu tune Clouds FM radio Ili mpate kumsikiliza SELEMAN JAFO na hoja zake dhaifu kuhusu wachina

Wakuu tune Clouds FM radio Ili mpate kumsikiliza SELEMAN JAFO na hoja zake dhaifu kuhusu wachina
Gentleman
uko na marking scheme yako hapo sio? ukitarajia mwanasia tena waziri ajibu maswali kadiri ya majibu yako ya mfukoni right? Ili ufurahi 🤣
 
Siza na kp watamnyoosha leo...ila wengi huwa wanawapa watangazaji maswali ambao wamejiandaa tayari..pale inakua kama maigizo
 
Namsikiliza Ila uwezo wa kipanya na siza na waziri bado ni mdogo maswali anayoulizwa hayana logic nafikiri wamefanya makusudi ili kupunguza ili wimbi
 
Wakuu tune Clouds FM radio Ili mpate kumsikiliza SELEMAN JAFO na hoja zake dhaifu kuhusu wachina
20250319_082154.jpg

Wachina: mitaani wapo... Kwenye mikutano ya ccm wapo...kwenye miradi wapo!
Kifupi ni kwamba tumenasa!
 
Kafo anajua kua ndege moja ikitoka nje inakuja na wachina mia na hamsini na kati ya hao watakao ondoka ni 7 tu
 
Back
Top Bottom