#COVID19 Waziri Gwajima: Tanzania maambukizi yafikia watu 47 toka 14 kwa siku

Acha story za vijiwe vya kahawa..
 
 
Nabii, Mtume, Askofu Daktari Rashid Gwajima alidai amepewa dhima ya kuilinda Tanzania dhidi ya Uviko sasa kulikoni?
 
Nimecheki kwenye ukurasa wa Wizara ya afya huko Twitter, naona waziri aliteleza labda...
View attachment 2054332
Pale wizarani Kuna watu wanna busara Sana,huwa wanamfunika nguo,Kuna siku tena alibwatuka viongozi ambao hawajachanjwa waachie ngazi, wizara tena ikadai watu wamemuelewa vibaya.
Hii tena ya watu kufa nilimuona ITV, tulikuwa na jamaa wengine tunacheki waanza kumrushia matusi🤣🤣🤣🤣.
 
Dah! Kweli uwezo wa kuwasilisha ujumbe ni kipawa. Mama inabidi aidha afanye mazoezi kabla ya kuongea na umma, au aandikiwe asome au amuachie mtu mwenye uwezo wa kutoleta mkanganyiko. Sekta ya afya ni nyeti kuifanyia makosa ya mara kwa mara.
 
Aliteleza waziri,au aliyeandika aliyoyasema waziri ndo kateleza?
Au ni marekebisho mwandishi kafanya kutokana na kauli ya waziri
Maswali mazuri Mkuu. Kwa kuwa siko wizarani sielewi makosa yamefanyika wapi. Ila ni rahisi kuteleza ukiongea kuliko ukiandika.
 
Bado nahoji ukweli wa hizi takwimu. Hao watu 100,000 kwa siku Tanzania hii wako wapi?
 
Dah! Kweli uwezo wa kuwasilisha ujumbe ni kipawa. Mama inabidi aidha afanye mazoezi kabla ya kuongea na umma, au aandikiwe asome au amuachie mtu mwenye uwezo wa kutoleta mkanganyiko. Sekta ya afya ni nyeti kuifanyia makosa ya mara kwa mara.
Kweli kabisa.
Tatizo yeye anataka kumufurahisha Hangaya kwa gharama za maisha ya watu,na Hangaya anavyopambana kupata 50/50 ili asifiwe na wazungu,ni vigumu kutengua uteuzi wa mwanamke.
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Tukachanje
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…