igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,590
- 3,346
Acha story za vijiwe vya kahawa..Zile tetesi kwamba chanjo ya J&J inasababisha kuganda kwa damu kwenye ubongo, serikali imetolea ufafanuzi? Ikumbukwe wananchi wengi walipatiwa hizo chanjo.
CDC recommends Pfizer, Moderna vaccines over J&J shots for adults due to rare blood clot cases
The CDC has confirmed 54 cases of people developing blood clots and showing low blood platelet levels following J&J vaccination.www.cnbc.com