Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
- Thread starter
- #121
Lulu naye kafataki kadogo, kwa nini alifanya 'birthday' ya miaka 18 na sasa anasema ana miaka 17
kama alipotoshwa umri ni kosa lake?
Lulu naye kafataki kadogo, kwa nini alifanya 'birthday' ya miaka 18 na sasa anasema ana miaka 17
Duh! Wazazi wajitahidi kuchunga vibinti vyao.
jimbo la nini labda kabila lake............................msukuma...............
Huyu waziri nae kazidi kupenda dogodogo,sijui anapata raha gani kwa watoto under age
basi huyo sio waziri kaka alikuwa waziri na ana jina moja maarufu alilipata baada ya kushuka uwanja wa ndege pale jk nyerere na kutoa neno ambalo liliwashtua waandishi wa habali,,,bado hamjamjua?
Huyu waziri nae kazidi kupenda dogodogo,sijui anapata raha gani kwa watoto under age
tusimwage mtama kwenye kuku wengi..lol
duu ruta weka basi hata ni wizara gani?tumdadavue sasa hivi!huo mchezo upo sana na umesababisha nyumba sinza kuwa ghali