Waziri fataki anapotuhumiwa kumbaka kinda Lulu.............

Mkulu kwenye kabineti zake anazingatia sana kuweka "ma-winger" to guarantee him a perfect connection to the world he would badly miss. So nothing is impossible here.

Sitaki kuamini kabisa yule daktari wa tz aliyejisifia kua kuna mtoto alizaliwa bila kichwa akawekewa koroma aisee!
 
wana JF confirmed cap J Komba ndiye aliyepiga ile simu,na ni chakula yake ya siku nyingi huwa anaenda nayo mpaka huko kwa songea!!mkuu ruta ameudanganya umma
 
wana JF confirmed cap J Komba ndiye aliyepiga ile simu,na ni chakula yake ya siku nyingi huwa anaenda nayo mpaka huko kwa songea!!mkuu ruta ameudanganya umma

dah,kepten ndo anamlala yule Dogo?wanatumia styl gan xaxa?
 
Ninachokiona hapa ni LULU kutiwa hatiani kwa makosa ya kudanganya umri na kuua bila ya kukusudia ambapo kwa umri wake anaweza wekwa chini ya jela ya watoto kwa miaka miwili au mitatu na kisha kuachiwa na kuja kujiunga na jamii akiwa mtu mpya na mwenye kujutia kumpoteza mpenzi wake.

Wewe kweli ni Bongolala tu............bado hjuaamka..........amkaa basi maana wapitwa na mengi..................Lulu hana shughuli na huyo mchofu........hilo tumbo alipeleke wapi?
 
Lulu fundi wewe!!!kwa mujibu wa waliompitia!dada zako mjini usione wanakachukia kale katoto wanakajua kwa utundu kama kikiwachukulia mabwana zao kurudi ngumu!!!!!Lulu!bad news acha tu...

Muuza Sura umesema kweli....wengi wadada...... wanamchukia sana yule binti kwa sababu sifa zake za kukata mauno wamezisikia na wanajua hawafui dafu..........
 
Ni hivi kwa c.v. zilizoanikwa hapo juu, hapahitajiki tena haja ya kumtaja jina, c.v hizo ni jina tosha!

The given facts are neither clear nor certain......so speculations are still in domination mpaka sasa! Sijui kwanini wanasita kuweka complete information kuhusu hayo majitu????
 
The given facts are neither clear nor certain......so speculations are still in domination mpaka sasa! Sijui kwanini wanasita kuweka complete information kuhusu hayo majitu????

kipipi..........vuta subira kwa sababu tutawweka piucha za wahusika....................tunachofanya ni kuwapa muda waungame kwa wake zao kwanza........................then full disclosures.......
 
do anamlala yule Dogo?wanatumia styl gan xaxa?

kinda wetu yeye ni wasukuma tu hataki damu nyingine kwa hiyo waache kumzulia...... Lulu na mngoni wapi na wapi?
 
bongolala.................ni mapema sana.................acha ahenye kwanza fataki huyu.......kazi yake ni kusambaza vvu kwa watoto wetu badala ya kuwahamasisha wakae madarasani na kujijengea maisha yao ya baadaye..............

he kumbe tayari ana viruz" lol hebu sasambua jina hilo ili nikakanye kabint kangu.lulu nae ana kaumr kadogo lakn ametafunwa mpaka na vichaa.
 
Sheria za makosa ya jinai za kubakana ipo wazi kabisa.......kinda ni yule ambaye hajafikisha miaka 18 na ukimshughulikia inakula kwako hata kama umeweza kumrubuni kwa minoti, usafiri wa nguvu, nyumba ya kupanga kwenye maeneo tajirika n.k...............................bado sheria inakutia hatiani ya kuwa yule kinda ulikuwa unambaka tu na kifungo chake ni miaka 30/ maisha na bila nafasi ya misamaha ya Raisi..............

Kuna waziri mmoja wa wizara moja nyeti anatuhumiwa kuwa ndiye aliyempigia simu Lulu wakakutane Coco Beach...........na hiyo simu ndiyo iliyoleta rabsha na kusababisha nguli wa filamu hapa nchini Kanumba kuwa na wadhifa mpya wa mwendazake..............................

Polisi wanazo hizi taarifa na yasemakana hata bosi wa waziri kesha binywa sikio.........waziri fataki si awe muungwana tu ajiuzulu na kuomba yaishe................au naye atadai hajiuzulu ng'o.............itakapofika mahakama kuu haoni ya kuwa siri zote zitamwagwa na yeye kuishushia hadhi serikali ya Jk kuwa inalea na kuhamasisha ubakaji wa watoto pale inapotoa nafasi za juu serikalini kwa watu ambao ni mafataki na wanatumia nyadhifa zao kurubuni watoto wadogo wakike na kuwafunza tabia mbaya.................na kufanya haya yote kwa kutegemea kulindwa na dola?????????????

Lulu naye kafataki kadogo, kwa nini alifanya 'birthday' ya miaka 18 na sasa anasema ana miaka 17
 
Back
Top Bottom