zimwimtu
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 1,988
- 1,095
Acha uzushi na wewe..hawana akiba wakati hawa ndo waliokuwa wanalilia kibali wauze mahindi yao nje?? mwezi wa tisa walipewa kibali wauze nje.. wakauza Uganda mahindi kibao, leo hii wamlilie nani njaa!. akiba wanayo sana!.Tizeba anajuwa vizuri kanda ya ziwa anakotoka kuna ukame na hakuna dalili ya mavuno ukiondoa jimbo lake la Buchosa. Wakulima hawajapata chochote na wala hawana akiba kama wanavyohubiri labda wafanyabiashara