Hakuna mtu anaangalia huo ujinga..Kwanini sio TBC TAIFA?
Njaa = ukosefu kabisa wa chakula hivyo watu hawana chakula. Watu hawali kabisa, wanashinda bila kula na wana dalili za utapiamulo. Wengi wanakufa kwa utapiamulo na hasa watoto chini ya miaka 5. Familia zinasambaratika. Wakina baba kukimbia familia zao kwenda kusiko julikana kutafuta chakula na mara nyingi hawarudi. Hali ya namna hiyo ni janga la baa la njaa na msaada wa kimataifa huhitajika kuokoa maisha ya waathirika. Mfano huko Somalia.Hivi nini tafsri ya njaa? Huenda mm naelewa tofaut lbda
Wakuu wa wilaya na mikoa wameshawaambia wananchi hakuna chakula.Mahitaji ya chakula ni tani mil 13, serikali ilikuwa na akiba ya chakula tani mil 16, bado tumebakiwa na tani mil 3.
Mwaka jana tulikuwa na halmashauri 43 zilizozalisha chakula chini ya kiwango lakini bado tuna ziada ya chakula.
Maeneo mengi ya Tanzania yanatofautiana katika hali ya hewa, na upatikanaji wa chakula, bado hakuna njaa nchini.
Umeshapima kiwango cha utapiamlo wa watoto uliojitokeza kipindi hiki?Njaa = ukosefu kabisa wa chakula hivyo watu hawana chakula. Watu hawali kabisa, wanashinda bila kula na wana dalili za utapiamulo. Wengi wanakufa kwa utapiamulo na hasa watoto chini ya miaka 5. Familia zinasambaratika. Wakina baba kukimbia familia zao kwenda kusiko julikana kutafuta chakula na mara nyingi hawarudi. Hali ya namna hiyo ni janga la baa la njaa na msaada wa kimataifa huhitajika kuokoa maisha ya waathirika. Mfano huko Somalia.
Tanzania kwa sasa hatuko stage hiyo. Kuna upungufu wa aina fulani fulani tu wa vyakula, kitu ambacho ni kawaida kwa miezi hii. Hasa hasa ni upungufu wa mahindi. Vyakula vingi viko tele. Hata maembe ni chakula. Sasa mtu unakuta analalamika oh nimeshindia maembe, tuna njaa. Yaani kwa kuwa baadhi ya watu wameshindwa kula vyakula wavipendavyo hususani pilao basi kuna baa la njaa Tanzania? Ukishindia uji au mihogo kuna baa la njaa. Utasemaje kuna baa la njaa wakati watoto wala wakubwa hawana dalili zo zote za utapiamulo hata kama wameshindia senene na wadudu wengine?
Haya masuala ni ya kitalaamu. Tusipende kufanya siasa kwa mambo ya kitalaam. Siku hizi sijui tumepatwa na nini watanzania. Yaani watu wamekua wanazua majanga kila kukicha na kuyatangaza wakati wala hawana mamlaka ya kutangaza majanga. Mara janga la kufilisika hazina ya serikali, mara janga la Zika na sasa janga la baa la njaa. Halafu huwa wanayatangaza wakiwa wanafuraha wakidhani wanamkomoa mtu, tasisi au chama fulani. Huu ni ujinga au upumbafu kabisa.
Kwake yeye andahani njaa hadi watu wakose kitu cha kuingia mdomoni.hajui watu wanapiga dash,kisha wanakula majani, mizizi, sabuni, au kiasi kidogo sana ambacho hakiwezi fikia mahitaji muhimu ya mwili kwa siku.Baadae mwli huanza jitafuna wenyewe ili kupata vitu kama energy. Baadae huyo binadamu huishiwa nguvu kabisa kwa vile hakuna tena cha kuliwa na mwili katika mwili.Umeshapima kiwango cha utapiamlo wa watoto uliojitokeza kipindi hiki?
Huyo ina maana anapingana na mkulu?Mahitaji ya chakula ni tani mil 13, serikali ilikuwa na akiba ya chakula tani mil 16, bado tumebakiwa na tani mil 3.
Mwaka jana tulikuwa na halmashauri 43 zilizozalisha chakula chini ya kiwango lakini bado tuna ziada ya chakula.
Maeneo mengi ya Tanzania yanatofautiana katika hali ya hewa, na upatikanaji wa chakula, bado hakuna njaa nchini.
Takwimu ziko kwa waganga wakuu wa wilaya na mikoa ambazo huwakilishwa kila mwezi wizara ya afya pamoja na mambo mengine ya kiafya wilayani. This is normal routine za mfumo wetu wa uendeshaji wa huduma za afya. Mfumo huu unaitwa MTUHA au HMIS= Health Management Information System. Takwimu hujazwa kila siku kwenye vituo vyote vya utoaji huduma, kuanzia zahanati, vya serikali na visivyo vya serikali. Ni mfumo ambao uko well organized wala si utafiti. Masuala kama ya milipuko ya matatizo ya kiafya hususani utapiamulo au magonjwa ya kuambukiza taarifa zake hutumwa wizarani kila siku na wala hazingoji monthly report.Umeshapima kiwango cha utapiamlo wa watoto uliojitokeza kipindi hiki?
Serekali ya milipuko.Tanzania ilizalisha tani 16 million i msimu uliopita, mahitaji ni tani 13 milioni, ziada tani 3 millioni, Tanzania ikauza 1.5 milioni za ziaza nje, Tanzania ikabaki na ziada 1.5 milioni ambazo waziri mkuu katangaza kusambazwa ili kufidia upungufu wa chakula na kuzuia kupanda kwa bei.
Lakini wakala wa chakula wa serikali anazo tani 88,000.
Hapo akili kumkichwa ili kujua nani anacho chakula.