Waziri Biteko, Tanesco wamekudharaulisha sana

Waziri Biteko, Tanesco wamekudharaulisha sana

Nakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii:

View: https://youtu.be/SKQJpYmUTyM?si=WrB0APIKPuuRAP9z

Leo hii tukipiga simu tanesco emergency majibu tunayopata yanavmchafua roho, uzembe ni ule ule uliokuwa uiiwaasa unajirudia kila kukicha.

Pale wananatakiwa wakuzwe wafumuliwe wote. Suala la customer care limekuwa ni mtihan sana. Nchi hii
Namna gani private companies wanaweza? Kwann gov isijifunze huko?
 
Hizi idarq zinatqkiwa zifumuliwe juu chini zote.
.vijana wanaomaliza vyuo wapelekwe on hands training nchi zinazojitambua kama Saudi Arabia,UAE, Oman au Qatar. Wapate exposure.

Wasipelekwe magharibi, wanaishia kuwa vibaka tu wakirudi huko.
 
Misemo ya Tanzania-
1. Kama unadhani elimu ni gharama basi jaribu ujinga, LAKINI
2. Kama unadhani TANESCO ni shirika la ovyo, basi jaribu kuomba huduma za Fiber Internet pale TTCL!
TTCL.jpg

Hao ndo TTCL, ngoma inakaribia Miezi 18 hiyo tangu nifanye application, na hawashituki wala kubabaishwa na yeyote pamoja na kuwapigia simu mara 100 kidogo ikiwa ni pamoja na physical visits kwenye ofisi zao! Mbele ya TTCL, TANESCO ni bora mara 10,000,000,000,000,000! No wonder hawataki kuongeza idadi ya wateja kwa sababu wanafahamu wakithubutu kuwa na wateja hata 50K, wao ndo wataongoza kulalamikiwa nchi hii!
 
Kuleta hizi taarifa za ulalamishi kipindi cha uchaguzi ni ugwajima, kuwa na ustaarabu basi
 
Kuna umeme na maji hivi vitu viwili vimekosa kweli watu wenye huruma na utu wakawekwa hapo? Fikiria mtu anakosa umeme na anakosa maji ni kama tuko enzi za mawe.

Sijui kwanini waziri wa maji hatumbuliwi, anaongea uongo tatizo la maji limekwisha baada ya wiki watu wanakosa maji miezi hata 6 si sawa.
 
Nakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii:

View: https://youtu.be/SKQJpYmUTyM?si=WrB0APIKPuuRAP9z

Leo hii tukipiga simu tanesco emergency majibu tunayopata yanavmchafua roho, uzembe ni ule ule uliokuwa uiiwaasa unajirudia kila kukicha.

Sio TANESCO peke yake, chini ya huyu shoga ako sa100 mambo meengi yameoza.
Uwajibikaji umezorota kbs serikalini yaani tumerudi nyuma kama taifa...hapa Jiwe alijitahidi sana.
Ufisadi ndio usiseme, kiufupi ukiacha njaa na kujipendekeza kupata teuzi...Sa100 hatoshi KABISAAA!!.
 
Kuleta hizi taarifa za ulalamishi kipindi cha uchaguzi ni ugwajima, kuwa na ustaarabu basi
CCM imeshapita, nani wa kushindana nayo muda huu?

Sasa tunapiga pasi tu.
 
Hizi idarq zinatqkiwa zifumuliwe juu chini zote.
.vijana wanaomaliza vyuo wapelekwe on hands training nchi zinazojitambua kama Saudi Arabia,UAE, Oman au Qatar. Wapate exposure.

Wasipelekwe magharibi, wanaishia kuwa vibaka tu wakirudi huko.
Siyo kwamba hizi nchi ulizo zitaja hapa una maslahi nazo! Haiwezekani nchi zote ziwe ni za mlengo mmoja unaofanana.
 
Kiini cha shida kinajulikana ila mnajifanya hamuoni🚮
 
Siyo kwamba hizi nchi ulizo zitaja hapa una maslahi nazo! Haiwezekani nchi zote ziwe ni za mlengo mmoja unaofanana.
Hizo nchi zina uaminifu, uadilifu na nidhamu ya kuheshimu ya juu ya kuheshimu kazi. Nchi hizo zina wafanyakazi kutoka dunia nzima na wote wakifika huko wanajifunza kuwa na nidhamu ya hali ya juu ndiyo maana nimezitaja.

Nimeshafika zote hizo.

Huwa sikisii.
 
Hizi idarq zinatqkiwa zifumuliwe juu chini zote.
.vijana wanaomaliza vyuo wapelekwe on hands training nchi zinazojitambua kama Saudi Arabia,UAE, Oman au Qatar. Wapate exposure.

Wasipelekwe magharibi, wanaishia kuwa vibaka tu wakirudi huko.

Hahahaha nimecheka sana, MBS kasoma USA na yule dogo anayekuja kurithi pale UAE kasomo Uingereza training zake za kijeshi.
Kifupi hao vijana wanaoleta mabadiriko middle east wamesoma West..

Halafu wewe unataka tukajifunze middle east.

Tanzania inahitaji kiongozi wa aina ya Magufuri au zaidi ya Maagufuri ili nchi uende.
 
Nakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii:

View: https://youtu.be/SKQJpYmUTyM?si=WrB0APIKPuuRAP9z

Leo hii tukipiga simu tanesco emergency majibu tunayopata yanachafua roho, uzembe ni ule ule uliokuwa ukiwaasa unajirudia rudia kila kukicha.

Yaani hiki kitengo ni hora kifutwe. Mimi nina wiki sasa sina huduma ya umeme nyumbani. Nimekuwa napiga simu mara mbili hadi nne kwa siku.
Kila uki piga simu una anza kujieleza upya. Mime amua kutumia generator hadi watakapo jisikia kunipa hudima
 
Back
Top Bottom