Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,268
- 5,815
Wahudumu wa TANESCO ni ccm
😂😂😂🐼Kuleta hizi taarifa za ulalamishi kipindi cha uchaguzi ni ugwajima, kuwa na ustaarabu basi
Kama unaishabikia CCM, huna uhalali wa kuilalamikia TANESCO wala taasisi yoyote ya umma, maana CCM ndiyo wameshindwa kuleta uwajibikaji na ufanisi.CCM imeshapita, nani wa kushindana nayo muda huu?
Sasa tunapiga pasi tu.
Wewe udini umekujaa tu uzee wako Mbona wewe umesoma Western uko?Hizi idarq zinatqkiwa zifumuliwe juu chini zote.
.vijana wanaomaliza vyuo wapelekwe on hands training nchi zinazojitambua kama Saudi Arabia,UAE, Oman au Qatar. Wapate exposure.
Wasipelekwe magharibi, wanaishia kuwa vibaka tu wakirudi huko.
Achana na Uyo bibi kizee kila Kitu kwake anakitazama kwa Mlengo wa dini tu, Mshamba sana Uyo bibi yeye mwenyewe kasoma WestHahahaha nimecheka sana, MBS kasoma USA na yule dogo anayekuja kurithi pale UAE kasomo Uingereza training zake za kijeshi.
Kifupi hao vijana wanaoleta mabadiriko middle east wamesoma West..
Halafu wewe unataka tukajifunze middle east.
Tanzania inahitaji kiongozi wa aina ya Magufuri au zaidi ya Maagufuri ili nchi uende.
Nakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii:
View: https://youtu.be/SKQJpYmUTyM?si=WrB0APIKPuuRAP9z
Leo hii tukipiga simu tanesco emergency majibu tunayopata yanachafua roho, uzembe ni ule ule uliokuwa ukiwaasa unajirudia rudia kila kukicha.
Tatizo ajira za kindugu na za kudumu Kwenye secta binafsi ajira niza mikataba na kama huna cha kutoa katika maendeleo ya shirika mkataba huaongezewi au pia husitishwa.Pale wananatakiwa wakuzwe wafumuliwe wote. Suala la customer care limekuwa ni mtihan sana. Nchi hii
Namna gani private companies wanaweza? Kwann gov isijifunze huko?