Waziri Bashungwa amsimamisha Mkurugenzi wa Mvomero Bw Hassan Njama Hassan kwa Ufisadi wa kutisha

MBONA HAIENDANI SASA ? WEWE UKIMUONA MTOTO WA JIRANI KAKOSA UNAWEZA KUMFUKUZA NYUMBANI KWAO? SI LAZIMA UMWAMBIE MZAZI WAKE NDIYO AAMUE?
Huyo DED alishaonywa, hakusikia.
Kukosa kibarua haki yake.
Bashungwa katumia madaraka yake vyema.
 
Huyo DED alishaonywa, hakusikia.
Kukosa kibarua haki yake.
Bashungwa katumia madaraka yake vyema.
UNAJUWA NDUGU HATUBISHANI UNAWEZA KUWA RIGHT OR WRONG PIA HATA KWANGU, UNAJUWA MARA NYINGI HUWAGA NASIKIA MAWAZIRI WAKISEMA HATA WAZIRI MKUU NISHAWAHI KUMSIKIA PALE UDART KWAMBA HUYU NAONDOKA NAYE MAANA NI SAIZI YANGU HUYU MKURUGENZI NAWASILISHA KWA MAMLAKA YA UTEUZI KWA MAAMUZI SASA WAZIRI MKUU NA BASHUNGWA NANI MKUBWA HAPO UNAVYYOONA
 
Viongozi lazima wawjibike sehemu zao za kazi.
Hi ni kuchukua hatua stahiki pale wanapoona kuna wale wa chini yao wanakosa adabu na kukiuka maagizo.
Sasa kila mtu akilalamika na bado wana marungu mikononi nani atawajibika?
Nampngeza Bashungwa kwa kuchukua hatua stahiki kwa DED aliyekosa adabu, ameshindwa kushughulikia ubadhirifu wa watu wa chini yake.
 
Huyu Bashungwa hafai civics yangu tu ya o level inakinzana na uamzi aliochukua na akienda hivi atatengua wateule wa rais wote kulingana na anavyojickia wallahi
 
Huyu Bashungwa hafai civics yangu tu ya o level inakinzana na uamzi aliochukua na akienda hivi atatengua wateule wa rais wote kulingana na anavyojickia wallahi
Ana mamlaka ya kumuwajibisha na sio kutengua uteuzi muwe mnasoma vizur sheria
 
Huyu Bashungwa hafai civics yangu tu ya o level inakinzana na uamzi aliochukua na akienda hivi atatengua wateule wa rais wote kulingana na anavyojickia wallahi
Uteuzi wa Rais haufuatwi kama Biblia su Korzn.
Mtendaji akikosea kimaadili, aidha kuiba, kukiuka maagizo ya kiongozi wake au outright kushikiana na wafanyakazi kuhujumu, immediate kiongozi wake lazime amshughulikie ama sivyo yeye atashughulikiwa kwa kutowajibika kiuongozi.
Huyo DED aliyeshughulikiwa hana mahali pa kwenda.
 
Aliyepiga hakujali hata jina la hiyo shule ni la nani.

You can imagine namna watu hofu ilivyowatoka.
 
Back
Top Bottom