Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

kwani sheria zimemtaja waziri gani kuwa mwenye kinga ya kushtakiwa??
Kwani Mwenez anatumia kifungu gani kujigeuza yeye ni Rais wa nchi?

Mbina Nchimbi katulia tu.Tanzania hatuna utawala wa sheria.Ni vurugu mechi tu kama tumelaaniwa.
 
Ka-Kimbizi Ka-Kisomali kameanza kudindisha.
Mwenez huwa hana mipaka.Kuna siku atampigia simu PM Majaliwa jukwaani.

Tunawataka viongozi qawakilishi wa wananchi. TUNATAKA uwepo wa madiwani na wabunge wanaowakilisha wanachi katika vyombo vya maamuzi.
MWENEZA anayo majukumu yake.Hawezi kuwa anapita katika kila kata kutatua matatizo.
 
Nadhani rais angeteuwa msaidizi wake wa kuwatia kiwewe na kuwatumbua wafanyakazi wa serikali wasio jitambua. Hii inasadia kuwaweka watumishi wa serikali na hata wafanya biashara katika mstari ulio nyooka wa nidhamu kazini.
Mh Majaliwa alikua anaifanya hii kazi vizuri sana lakini naona siku hizi kapunguza spidi.
Hawa watumishi wa serikali hawaendi bila mijeledi.
 
Hivi waziri wa mchezo au Raisi wa TFF anaweza kutoa au kuwelekeza yakucheza mchezaji uwanjani jinsi ya kucheza. Mamlaka iliyomwanzisha kwenye first 11 yaani kocha ndo itakayomfanyia sub. Bashe yuko sawa
 
WENGINE NI HAWA HAPA

KWA UPANDE WA SERIKALI
MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
JAJI MKUU
KATIBU MKUU KIONGOZI

KWA UPANDE WA CHAMA
KATIBU MKUU WA CCM
KATIBU MWENEZI WA CCM

KWA UPANDE WA BUNGE
SPIKA WA BUNGE
NAIBU SPIKA WA BUNGE

KWA UPANDE WA WANANCHI
WANANCHI WOTE WA JMT KWA SABABU WAO NDIYO WAZAZI WA CCM, HUKU SERIKALI YA COM IKIWA NI MJUKUU WAO
 
Chama kilichounda serikali hii,kwa hiyo chama hicho hakina mamlaka ya kuihoji seriakali yake!?. Ujinga ni mzigo mkubwa sana kichwani.
Yeye ni katibu mwenezi wa itikadi za chama, yeye siyo msimamizi wa ILANI ya chama. Aeneze itikadi za chama asijidai mjuaji na msimamizi wa viongozi wa serikali. Yeye siyo boss wao.
 
Huyo msomali alipewaje uwaziri? Tangu apewe hiyo wizara kafanya lipi la maana zaidi ya ufisadi, huyu si ndio anahusishwa na ile kampuni dhulumati ya tumbaku mkwawa? Hawa mawaziri shida sana
 
Back
Top Bottom