Waziri Bashe azikaanga kampuni za TBL, Serengeti. Agomea kukutana nao

Pia amesema atavifungia viwanda vyote vya Beer, wines, Spirit na pombe za kienyeji kwasababu UISLAM hauruhusu matumizi yake

Na amegoma kukutana na wamiliki wa viwanda hivyo kwaajili ya majadiliano.
SIYO KWELI! Bashe, kama Waziri, hawezi kusema maneno hayo! Huu ni uongo na uzushi tu! Bashe hawezi kwenda kinyume na sera za CCM na Serikali yake kwenye eneo la uwekezaji. Acha kudanganya watu humu JF!
 
Nafikiri kabla ya kuyafokea Makampuni angaengalia kwanza ubora wa shairi inayolimwa na hao Wakulima inatimiza vigezo? Aanzie kwa Wakulima kwanza !
sasa katika makubaliano si ndio watasema ubora wanaoutaka na kuwafundisha kulima jinsi watakavyo wao, inawezekana sanaaaa
 
Back
Top Bottom