Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,310
- 34,556
Unanipaje shida?Uislamu unakupa shida sana
Unanipaje shida?Uislamu unakupa shida sana
SIYO KWELI! Bashe, kama Waziri, hawezi kusema maneno hayo! Huu ni uongo na uzushi tu! Bashe hawezi kwenda kinyume na sera za CCM na Serikali yake kwenye eneo la uwekezaji. Acha kudanganya watu humu JF!Pia amesema atavifungia viwanda vyote vya Beer, wines, Spirit na pombe za kienyeji kwasababu UISLAM hauruhusu matumizi yake
Na amegoma kukutana na wamiliki wa viwanda hivyo kwaajili ya majadiliano.
Sijui anapata faida gani kupotosha?SIYO KWELI! Bashe, kama Waziri, hawezi kusema maneno hayo! Huu ni uongo na uzushi tu! Bashe hawezi kwenda kinyume na sera za CCM na Serikali yake kwenye eneo la uwekezaji. Acha kudanganya watu humu JF!
sasa katika makubaliano si ndio watasema ubora wanaoutaka na kuwafundisha kulima jinsi watakavyo wao, inawezekana sanaaaaNafikiri kabla ya kuyafokea Makampuni angaengalia kwanza ubora wa shairi inayolimwa na hao Wakulima inatimiza vigezo? Aanzie kwa Wakulima kwanza !
Nawaza hapa je serikali yetu pendwa......neno kodi kodi kodi ......watapata wapi.....?Sio uislamu tu hata kiafya na kijamii pombe imekuwa na hasara kuliko faida.