Waziri Bashe acha kuchezea Kodi zetu kwa maono mfu! Kilimo siyo filamu

Kuna watu walikwama kuuza mazao yako kupitia chama chao cha msingi. Bashe alipigiwa simu hakupokea na akapelekewa ujumbe wa maandishi mpaka leo hajajibu. Mtu ambaye alifeli kuendesha gazeti la Mtanzania na Rai, leo hii anapewa wizara ambayo ni moyp na roho ya nchi. Kuna sehemu Watanzania tunaumwa. Tutafute tabibu.
 
Mkuu Rufiji dam inaonekana wewe ni mtu wa kizazi cha BBC (Born Before Computers). Kwa hiyo bado unasoma magazeti zama hizi? Habari zote zitakazoandikwa magazeti ya kesho mimi nazisoma kwenye social media. Wewe utasoma kesho kuanzia saa 2 kama uko Dar

Kwa akili uliyonayo huwezi kumuelewa Hussein Bashe, endelea na ujima wako
 
MPaka sasa mna order ya nchi gani au kiwanda gani au kampuni ipi imewambia kuwa limeni sisi tutachukua hayo mazao yenu? Sawa Tz hatuna mazao bora, je nchi nyingine za africa vp ?mbona nao ni kama sisi tu.
Nadhani itakuwa wewe si mdau wa sekta ya Kilimo ila duniani kuna demand kubwa sana kwa mazao mengi tu, tatizo ni kutimiza demand maana wenyewe wanataka in containers tena za ft 40 tena continuously. Ondoa shaka ya soko kama unazalisha kwa size kubwa na quality nzuri.
 
Yaani mkulima anateseka huko shambani bei anakuja kupangiwa na dalali ambae hana alichowekeza zaidi ya simu yake mkononi.

Waziri bashe km kweli una nia ya kuwapigania wakulima anza na hawa wanaojiita madalali
Yaani hapa ndo kwenye shida, dalali anataka apate hela nyingi kuliko mkulima aliyewekeza mtaji mwingi shamba
 
Kwakweli mkulima wa Nchi hii ni shida tupu kuanzia kulima mpaka kuuza hakuna msaada wowote zaidi ya kunyonywa tu na wanaoitwa wajanja wa mjini !!
Mkuu afadhali huko wanavuna, huko Tanga wana walimia tembo. Wananchi wamelalamika sana na kujaza mafomu ya kulipwa fidia kutokana na uhalibifu wa tembo lakini hakuna msaada mwaka sasa. Tembo wamezagaa, Mh Bashe ebu tamka neno la kuwa fariji wakulima hawa.
 
Nadhani itakuwa wewe si mdau wa sekta ya Kilimo ila duniani kuna demand kubwa sana kwa mazao mengi tu, tatizo ni kutimiza demand maana wenyewe wanataka in containers tena za ft 40 tena continuously. Ondoa shaka ya soko kama unazalisha kwa size kubwa na quality nzuri.
Kila la heri mkuu, kama ni hivyo unadhani ni kwanini makampuni makubwa yanayojihusisha na biashara ya mazao wasijihusishe na kilimo moja kwa moja badala yake wanaenda kuvizia mazao ya mkulima mmoja mmoja wa jembe la mkono.
 
Mbona yapo mengi tu yanayojihusisha na kilimo moja kwa moja. MO mfano mmojawapo. Wengine wanahofia policy zetu zinazobadilika badilika kila regime mpya inapoingia. Utawezaje sehemu ambayo kila siku kuna maelekezo mapya ya soko (korosho mfano wake). Kwa msingi huo, bora kuvizia mazao ya mkulima tu. Licha ya hayo, bado wateja wako kibao kila uchao wanatafuta bidhaa za kilimo.
 
Kila la heri mkuu, kama ni hivyo unadhani ni kwanini makampuni makubwa yanayojihusisha na biashara ya mazao wasijihusishe na kilimo moja kwa moja badala yake wanaenda kuvizia mazao ya mkulima mmoja mmoja wa jembe la mkono.
Hapo sasa ! Hii inaonyesha kwamba hao wakubwa wanapata wakitakacho kwa bei rahisi ndio maana hawajishughulishi na kilimo wao wenyewe moja kwa moja !!
 
Back
Top Bottom