Hili hata hayati alilisema anafanya kazi na watu wa hovyo! Maana anajaribu kupambana mambo yaende unakuta kuna mpumbavu anazingua mahali akienda anafyeka na kuweka mwengine π anayewekwa anakuwa na nidhamu ili asiondolewe anawakazia wa chini wapige kazi kweli kweli! Kazi zinaenda
Ila hii style ya bibie ya kubembelezana sio kwa aina ya watumishi wa umma wa kibongo wamefikia level mbaya sana ya ufisadi na hujuma! Sheria inabidi ziwe za kuwala vichwa kama china tu ndio watu wataheshimu mamlaka!
Mkuu mwez wa sita kuingia wa saba mara nyingi hua wanafunga mwaka, Hakuna kinachotoka hata tanesco kipind kama hiki kupata meter ni ngumu..
Kama mwez utaisha hivi hivi bas kutakua na matatzo mengne
Umemjibu vizuri inafanyika stock taking , nahisi lengo ni kujua walichobakiwa nacho ili kuanza mwaka mwingine wakiwa na hesabu kamili ya vifaa vilivyomo
Binafsi sijawahi ona ubora wa ile ofisi tangu nimeanza kutafuta huduma mbalimbali pale ...kuanzia kufanyiwa survey ni kero tupuuuu
Mfano tu mdogo kufanyiwa survey na kupewa iyo control number ilikuwa mbindeeeee yaan nilipiga simu HQ kwa ile namba yao ya 0800 .... Ndio wakasikia malalamiko yangu then waka forwad Kibaha Tc
Umemjibu vizuri inafanyika stock taking , nahisi lengo ni kujua walichobakiwa nacho ili kuanza mwaka mwingine wakiwa na hesabu kamili ya vifaa vilivyomo
Ndugu ukienda pale Pugu, kuna mradi wa Maji unatekelezwa na watu wana unganishiwa maji kila leo mita zipo ...ina maana wao hawafanyi stock taking ? Na kumbuka DAWASA wana hudumia hata PUGU
Nawakubali sanaa hawa jamaa nimeishi Tng zaidi ya 10 yrs hawa jamaa wana comply sana standard ...mfano wakitaka kukata maji watapita kutangaza mitaa yote itakayo kosa maji
Wakija kukufungia maji wanakuja site ...yaan huendi kuchukua vifaa ww unashangaa tu wapo site yako wanafanya yao wanasepa ..very nice
Kuna ya ndugu yangu ipo Kange ni bare aliunganisha huduma ya maji kwanza kisha akaanza ujenzi .....hiki kitu DAWASA Kibaha TC hawakufungii majinkabisaa wana kwaambia hakuna mtu anae ishi πππ
Hoja nzuri kabisa. Hata wateja wa DAWASA wa Kibamba eneo la Mbezi,Mshikamano, Kwa Mpala na Kwa Mgalula wateja walikatiwa maji na mabomba ili waunganishwe upya kuepukana na mgao mkali.
Lakini hadi leo ni wiki ya tatu hakuna kilichotekelezwa kwa maelezo kuwa hawana vifaa. Swali ni- Je ilikuwaje kampuni kubwa na yenye weledi kama DAWASA inafanya kosa la kushindwa kujipanga tu kama hili. JITAFAKARI.
Morogoro shida ya maji huwaga haiishi, lakini milima imetambaa pote unashangaa kwa nini hawawezi kuweka water reservoirs kugema maji yanayotiririka kutoka milimani. Kule lukobe penye makazi mapya sioni kama maji yatafika hivi karibuni.
Nawakubali sanaa hawa jamaa nimeishi Tng zaidi ya 10 yrs hawa jamaa wana comply sana standard ...mfano wakitaka kukata maji watapita kutangaza mitaa yote itakayo kosa maji...
Morogoro shida ya maji huwaga haiishi, lakini milima imetambaa pote.....unashangaa kwa nini hawawezi kuweka water reservoirs kugema maji yanayotiririka kutoka milimani. Kule lukobe penye makazi mapya sioni kama maji yatafika hivi karibuni.....
Ndo maana morogoro typhoid haiwezi kuisha dawa ni kuhamisha kabisa hao watendaji, unaweza kuta kuna watendaji wameshajifanya miungu watu. Kama siyo wenyeji wameshajikita kwenye biashara ya maji kiasi kwamba wanawabana watendaji wasifanye intervention ya maana.