Waziri Aweso hivi unafahamu kwamba ni mwezi mzima sasa DAWASA hawajaunganisha maji kwa Wateja wapya?

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
2,077
2,000
Mama anahujumiwa kila eneo
Hili hata hayati alilisema anafanya kazi na watu wa hovyo! Maana anajaribu kupambana mambo yaende unakuta kuna mpumbavu anazingua mahali akienda anafyeka na kuweka mwengine 😅 anayewekwa anakuwa na nidhamu ili asiondolewe anawakazia wa chini wapige kazi kweli kweli! Kazi zinaenda

Ila hii style ya bibie ya kubembelezana sio kwa aina ya watumishi wa umma wa kibongo wamefikia level mbaya sana ya ufisadi na hujuma! Sheria inabidi ziwe za kuwala vichwa kama china tu ndio watu wataheshimu mamlaka!
 

plock

JF-Expert Member
May 20, 2016
343
500
Mkuu mwez wa sita kuingia wa saba mara nyingi hua wanafunga mwaka, Hakuna kinachotoka hata tanesco kipind kama hiki kupata meter ni ngumu..
Kama mwez utaisha hivi hivi bas kutakua na matatzo mengne
Umemjibu vizuri inafanyika stock taking , nahisi lengo ni kujua walichobakiwa nacho ili kuanza mwaka mwingine wakiwa na hesabu kamili ya vifaa vilivyomo
 

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
3,773
2,000
Wa kibaha kahamishiwa Ilala .. Zonal manager
Binafsi sijawahi ona ubora wa ile ofisi tangu nimeanza kutafuta huduma mbalimbali pale ...kuanzia kufanyiwa survey ni kero tupuuuu
Mfano tu mdogo kufanyiwa survey na kupewa iyo control number ilikuwa mbindeeeee yaan nilipiga simu HQ kwa ile namba yao ya 0800 .... Ndio wakasikia malalamiko yangu then waka forwad Kibaha Tc
 

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
3,773
2,000
Umemjibu vizuri inafanyika stock taking , nahisi lengo ni kujua walichobakiwa nacho ili kuanza mwaka mwingine wakiwa na hesabu kamili ya vifaa vilivyomo
Ndugu ukienda pale Pugu, kuna mradi wa Maji unatekelezwa na watu wana unganishiwa maji kila leo mita zipo ...ina maana wao hawafanyi stock taking ? Na kumbuka DAWASA wana hudumia hata PUGU
 

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
3,773
2,000
Pia TANGA UWASA Hawa jamaa Wana standards Bora Sana kwa kazi Yao

Tanga UWASA nawakubali Sana jamaa hawa
Nawakubali sanaa hawa jamaa nimeishi Tng zaidi ya 10 yrs hawa jamaa wana comply sana standard ...mfano wakitaka kukata maji watapita kutangaza mitaa yote itakayo kosa maji

Wakija kukufungia maji wanakuja site ...yaan huendi kuchukua vifaa ww unashangaa tu wapo site yako wanafanya yao wanasepa ..very nice

Kuna ya ndugu yangu ipo Kange ni bare aliunganisha huduma ya maji kwanza kisha akaanza ujenzi .....hiki kitu DAWASA Kibaha TC hawakufungii majinkabisaa wana kwaambia hakuna mtu anae ishi 😃😃😃
 

Mchigondo

Member
Jul 10, 2021
28
75
Kwa hiyo unataka kusema hata MSD hawa supply dawa ma hospitalin mwez huu kamaa wagonjwa kufa na wafe tuu

Iyo ni kitu mbaya sanaaa
Hoja nzuri kabisa. Hata wateja wa DAWASA wa Kibamba eneo la Mbezi,Mshikamano, Kwa Mpala na Kwa Mgalula wateja walikatiwa maji na mabomba ili waunganishwe upya kuepukana na mgao mkali.

Lakini hadi leo ni wiki ya tatu hakuna kilichotekelezwa kwa maelezo kuwa hawana vifaa. Swali ni- Je ilikuwaje kampuni kubwa na yenye weledi kama DAWASA inafanya kosa la kushindwa kujipanga tu kama hili. JITAFAKARI.
 

Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,579
2,000
Kama ndio hivyo wakazi wa Moro hasa kihonda yote Hadi makunganya kule ,nane nane tubuyu Hadi kingolwira watakoma

Ukiisha hayo maeneo unaweza utukana ule mji kila siku...
Morogoro shida ya maji huwaga haiishi, lakini milima imetambaa pote unashangaa kwa nini hawawezi kuweka water reservoirs kugema maji yanayotiririka kutoka milimani. Kule lukobe penye makazi mapya sioni kama maji yatafika hivi karibuni.
 

The imp

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
13,105
2,000
Nawakubali sanaa hawa jamaa nimeishi Tng zaidi ya 10 yrs hawa jamaa wana comply sana standard ...mfano wakitaka kukata maji watapita kutangaza mitaa yote itakayo kosa maji...
Kweli mzee TANGA UWASA jamaa wako Makini Sana

Sio ajabu wanachukua tuzo Mara kwa Mara .

Idara zingine za maji ziwaige Hawa jamaa
 

The imp

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
13,105
2,000
Morogoro shida ya maji huwaga haiishi, lakini milima imetambaa pote.....unashangaa kwa nini hawawezi kuweka water reservoirs kugema maji yanayotiririka kutoka milimani. Kule lukobe penye makazi mapya sioni kama maji yatafika hivi karibuni.....
Hawana malengo .

Malengo Yao kujinufaisha tu.

Shangaa eti idara ya maji inauza maji kwenye magari hii kwa dunia iko Moro tu labda imeanzia huko Mars.

Mji una maeneo hayana maji ya uhakika miaka na miaka wahusika wako hapo hapo Wala hawashtuki.

MORUWASA imeoza
 

Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,579
2,000
Hawana malengo .

Malengo Yao kujinufaisha tu...
Ndo maana morogoro typhoid haiwezi kuisha dawa ni kuhamisha kabisa hao watendaji, unaweza kuta kuna watendaji wameshajifanya miungu watu. Kama siyo wenyeji wameshajikita kwenye biashara ya maji kiasi kwamba wanawabana watendaji wasifanye intervention ya maana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom