Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,321
- 219,633
Ngoma inogile , Utenguzi hauko mbali
Huna akili.Kwa hiyo umenuna mtu kujinunulia magari?Hebu acha akili za kimasikini mkuu!Au haupendi tukalione ziwa Singidani?😂😂😂
Ndio unastuka leo?Kama kuna ukweli kwenye hili basi nchi imeshamilikiwa na wachache
Vijana wengi ni wapumbavu.
Yaani mtoa mada katoa njia ili wanaolipwa kwa kazi ya ushushushu wafuatilie nyie mnataka aweke details zote hapa.
Kama mtumishi wa umma, kujua wapi amepata pesa hizo ni haki ya kisheria. Sijui kuhusu hayo mabasi, ila uwekezaji wa mtumishi wa umma unaweza kuuliziwa na sio wivu wala kosa.Kwa hiyo umenuna mtu kujinunulia magari?Hebu acha akili za kimasikini mkuu!Au haupendi tukalione ziwa Singidani?😂😂😂
😂😂😂😂Umethibitisha vipi kwamba ametumia tozo yako?Na umeiamini hiyo taarifa?Acha ujinga.Huna akili.
MTU anatumia hela yetu ya tozo wewe unamkosoa anaye tu
habarisha
Una uthibitisho wa hiyo taarifa au unajichukiza kipumbavu?Tulia na utafute ukweli.😂😂😂Kama mtumishi wa umma, kujua wapi amepata pesa hizo ni haki ya kisheria. Sijui kuhusu hayo mabasi, ila uwekezaji wa mtumishi wa umma unaweza kuuliziwa na sio wivu wala kosa.
Ni tofauti na kumuulizia Bakheresa amepata wapi hela zake...yeye haendi kushika hela za walipa kodi kama watumishi wa umma.
Aka TOZONIA, ambako tozo zinatozwa tozo!Uzi huu umefadhiliwa kwa hisani ya jamhuri ya tozo
Hata shabiby na utajiri wake hajawi agiza mabasi 60,Nchi ina makubwa hii.Hakuna mtu atakayeshangaa Abood au Shabiby kuagiza mabasi, ni matajili kabla ya kuwa wabunge, huyu Mwigulu Nchemba Kwa miaka 10 tu kapata wapi huo utajili?
Taarifa inapingwa na taarifa.😂😂😂😂Umethibitisha vipi kwamba ametumia tozo yako?Na umeiamini hiyo taarifa?Acha ujinga.
HaaaaahaaMwigulu Nchemba ni Mnyiramba pumbavu wewe, hakuna wanyaturu wajinga.
Mzee baba alipokuwa anawanyooaha mkamuona hafai, leo mnalialia do!.Hili tutalifanyia kazi katika katiba mpya. Yaani kazi ya uongozi itakuwa inaogopwa kuliko kazi yoyote.
Usichanganye mambo hapa...sijasema hiyo taarifa ni kweli. Ila investment ya public officer lazima iwe wazi maana anaweza kula hela za walipa kodi. Tuna tabia ya kuiba halafu hatutaki kuulizwa mtaji wetu umetoka wapi. sababu ya wizi wizi wetu, biashara nyingi zinakuwepo mtu akiwa madarakani. Akitoka zinatoka nayeUna uthibitisho wa hiyo taarifa au unajichukiza kipumbavu?Tulia na utafute ukweli.😂😂😂
Leta taarifa ya ushahidi kwamba kakuibia kibaka weye!😂😂😂Taarifa inapingwa na taarifa.
Leta taarifa yako kupinga kilichosemwa.
Mwigulu acha kutisha watu!
Magari yanaisha na timu zinapotea sponsa akipotea
Unaendeshwa na hisia.Tafuta ukweli kima weye!😂😂😂😂Usichanganye mambo hapa...sijasema hiyo taarifa ni kweli. Ila investment ya public officer lazima iwe wazi maana anaweza kula hela za walipa kodi. Tuna tabia ya kuiba halafu hatutaki kuulizwa mtaji wetu umetoka wapi. sababu ya wizi wizi wetu, biashara nyingi zinakuwepo mtu akiwa madarakani. Akitoka zinatoka naye