DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Halafu watu wanashangaa bata analokula irene uwoya? Tozo zenu hizo wanuka vikwapa na bado mtakamuliwa sana hadi muwe vichaa
 
Nawasalimu Wakuu,

Nchi inaenda pabaya Wakuu, TISS msaidieni mama..,. Hivi inakuwaje Waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?

Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?

Kazi kwenu!.
Labda yako na ya Mama. Watu hawawezi kulalama hivi halafu Rais ana weka pamba nasikioni.
 
Sijapinga maendeleo yaliyofanyika bali kujali maendeleo ya upande mmoja pekee,
Baba ako ana ela anajenga majumba kila mahali, magari kila aina shule anakusomesha ya kata, hajali mavazi yenu familia kila akiombwa ela anadai anajenga kwanza, miaka 6 bila kuongezewa mshahara wakati vitu vinapanda bei kila uchwao?
Ndio maana mliona watu wanalia vyuma vimekaza
Sasa kama ishu ilikuwa kuongezwa mshahara hio nyongeza mlioambiwa ni 23% imewafikisha wapi? Magufuli alipunguza paye tu, huyu amelngeza elfu nane akarudishs elfu 15 kwa tozo kuna lipi la maana? Au ufahari tu kuwa mama aliongeza mshahara
 
Nawasalimu Wakuu,

Nchi inaenda pabaya Wakuu, TISS msaidieni mama..,. Hivi inakuwaje Waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?

Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?

Kazi kwenu!.
Wenzako walipokuwa wanahangaika kuhakikisha uchaguzi wana shinda 100% iwe maji iwe damu wewe si ulikuwa umelala tu nyumbani na rafiki zako.

Acha watu wavune walichopanda.
 
Nawasalimu Wakuu,

Nchi inaenda pabaya Wakuu, TISS msaidieni mama..,. Hivi inakuwaje Waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?

Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?

Kazi kwenu!.

Inasemwa kuwa mzee alikusanya fedha nyingi zilizotokana na njia zote tuzijuazo na hazina ilituna sana.

Hizi ni fedha zote za ndani (kodi na ushuru), za wafadhili wa nje, ADB, WB na vyanzo vingine ambavyo bado viliendelea kuleta fedha za maendeleo

Yadaiwa kuwa baada ya mzee baba kuaga dunia hii tambarabovu, watu waliingia hazina na kila sehemu nyeti kuhakikisha wanachukua fedha zote.

Hadi leo mtindo huo ( wa kuiba fedha hazina) na sehemu zingine umeachwa uendelee na hakuna anaejali kwani kila mtu yupo "high-high" kukusanya kilicho chake.

Hivyo yanotokea leo hakuna haja ya kujifanya twashangaa sana.

Wanasiasa si watatuzi na wakombozi wa shida zozote zile kwa wananchi bali ni binadamu kama wewe na mimi hivyo nao wana matamanio ya kuwa watu katika watu, matamanio ya kuwa matajiri na wenye fedha na pia matamanio ya kuishi maisha mazuri.

Wanasiasa kwa asili si viongozi wazuri isipokuwa kama upeo wao ni wajuu sasa ndipo wataishia kuwa viongozi maarufu lakini bila kutatua shida za wanaowaongoza, na hufanya machache sana makubwa. Hayati Mwalimu Nyerere pamoja na makubwa mchache aloyafanya ametuwezesha watanzania wote kuzungumza kiswahili kama lugha yetu ya taifa.

Ndo maana siasa ni fani ambayo mtu yoyote aweza kuingia awe profesa, mwalimu, mchungaji na kadhalika lakini hawaji kuwa viongozi ili kutatua shida za wananchi wanowachagua, bali waja kujitatulia matatizo yao kwanza, ndio maana ya kuambiwa wahakikishe "kila mtu ala kwa urefu wa kamba yake".

Kwa kuwa hawa tunowaita viongozi wana ajenda zao za siri ni rahisi kuona wanashindwa kukusanya kozi ipasanyo kwa kushirikiana na wafanyabiashara, kuwabinya wananchi wa chini kwa kuwabambikizia tozo za kila aina, kushindwa kusimamia uchumi wa nchi ipasanyo, kushindwa kudhibiti mfumuko wa bei, kushindwa kutagtua tatizo la ajira kwa kubuni njia za kuwawezesha wananchi kujiendesha kimaisha kwa biashara zinowafaidia wao, na kushindwa kubuni mikakati ya kuwanyanyua wananchi kiuchumi.

Serikali yoyote inoshindwa kukusanya kodi ipasanyo nikimaanisha kodi ya maendeleo na kodi ya viwanja, ukiachilia mbali mapato ya halmashauri na tozo zinojulikana kama uingizaji magari nchini, hiyo si serikali bali ni genge la wapigaji.

Si kila ajiitae mwanasiasa ni kiongozi na si kila anekuwa kiongozi ni lazima awe mwanasiasa.
 
2OO,OOO,OOO X 6O = 12 BIllions katoa wapi?
Mbona hela ndogo iyo? Dollar million nne tu. Pagani Zonda yangu hapo chini used ni 4.5 million USD ikiwa mpya 8-10 million USD.
2009-Pagani-Zonda-Cinque-Roadster-007-2160-scaled.jpg


Ngoja na Mimi nizilete kama 200 hizo Yutong heshima iwepo.



Cc Robot la Matope RRONDO Extrovert
 
Back
Top Bottom